Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

Sio zimekua ndoa za siku hizi ndio hivyo hawa wanawake wanajali sana wallet, Ila kwa UPANDE mwingine yaweza kua huo mtaji wa biashara Baba yako ndio alifanya manuva akampa Mama yako afanye biashara maisha yaende wazazi wana Siri nyingi sana
Saiv ni wallet.Uwez anzisha mahusiano au kutaka kuoa bila kuwa na kibunda.
 
Kila kitu ni mapenzi, binafsi naweza sababu nampenda.
For better, for worse...
 
Tupo tunaoweza.
Ila iwe tu wakati akiwa na kazi alikuwa anajali familia yake na kunipenda mimi mke wake.
Ukishaweka masharti tu tunajua hakuna kitu hapo. Unachokiongea wewe ni kulipa fadhira tu usilaumiwe ila sio kufanya kwa upendo kama mama wa mshkaji hapo juu.
 
Wazazi Wana Siri nyingi mno mkuu.. Ila Bora uamini unachokiamini,, na umuombee Sana mama yako Ni super woman
 
Ukiskia loyalty ndio hiyo sasa sio Royar blahblah za kina manara.
Hao walikutana hawana senti kumi,wanajuana.
 
Wazazi Wana Siri nyingi mno mkuu.. Ila Bora uamini unachokiamini,, na umuombee Sana mama yako Ni super woman
Hata ikitokea Mimi na wewe kimfano tumekuwa wazazi na watoto kadhaa lazima tuweke Namba ya Siri kuthibitisha muamala wetu namaanisha wazazi wana Siri nyingi
 
Hata ikitokea Mimi na wewe kimfano tumekuwa wazazi na watoto kadhaa lazima tuweke Namba ya Siri kuthibitisha muamala wetu namaanisha wazazi wana Siri nyingi
Yeah ni kweli, wazazi Wana Siri nyingi mno.. Basi tu mambo mengine sio ya kuyasimulia hapa
 
Back
Top Bottom