Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ilikuaje mzeeAcha hizo, hakuna cha trust wala nini! Mwanaume akifulia hakuna amani tena! Kifo nje nje kwa stress sababu kuu ni mwanamke! Mimi niliponea kiduchu kufa kabla sijapindua meza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuaje mzeeAcha hizo, hakuna cha trust wala nini! Mwanaume akifulia hakuna amani tena! Kifo nje nje kwa stress sababu kuu ni mwanamke! Mimi niliponea kiduchu kufa kabla sijapindua meza
Saiv ni wallet.Uwez anzisha mahusiano au kutaka kuoa bila kuwa na kibunda.Sio zimekua ndoa za siku hizi ndio hivyo hawa wanawake wanajali sana wallet, Ila kwa UPANDE mwingine yaweza kua huo mtaji wa biashara Baba yako ndio alifanya manuva akampa Mama yako afanye biashara maisha yaende wazazi wana Siri nyingi sana
Zama zetu ni ngumu hizi watoto wa kike wanataka wallet itangulie mbeleSaiv ni wallet.Uwez anzisha mahusiano au kutaka kuoa bila kuwa na kibunda.
Unaweza nini kumpenda nani Wallet?Kila kitu ni mapenzi, binafsi naweza sababu nampenda.
For better, for worse...
Ukishaweka masharti tu tunajua hakuna kitu hapo. Unachokiongea wewe ni kulipa fadhira tu usilaumiwe ila sio kufanya kwa upendo kama mama wa mshkaji hapo juu.Tupo tunaoweza.
Ila iwe tu wakati akiwa na kazi alikuwa anajali familia yake na kunipenda mimi mke wake.
Kwaiyo mloganzila ipo?Weee labda kama sio mnyaki
Hata ikitokea Mimi na wewe kimfano tumekuwa wazazi na watoto kadhaa lazima tuweke Namba ya Siri kuthibitisha muamala wetu namaanisha wazazi wana Siri nyingiWazazi Wana Siri nyingi mno mkuu.. Ila Bora uamini unachokiamini,, na umuombee Sana mama yako Ni super woman
Tupo tunaoweza.
Ila iwe tu wakati akiwa na kazi alikuwa anajali familia yake na kunipenda mimi mke wake.
Yeah ni kweli, wazazi Wana Siri nyingi mno.. Basi tu mambo mengine sio ya kuyasimulia hapaHata ikitokea Mimi na wewe kimfano tumekuwa wazazi na watoto kadhaa lazima tuweke Namba ya Siri kuthibitisha muamala wetu namaanisha wazazi wana Siri nyingi
Mambo ya chumbani hayaletwi Sebleni yanamaliziwa huko huko chumbaniYeah ni kweli, wazazi Wana Siri nyingi mno.. Basi tu mambo mengine sio ya kuyasimulia hapa
😂😂😂 Noma sanaYeah ni kweli, wazazi Wana Siri nyingi mno.. Basi tu mambo mengine sio ya kuyasimulia hapa
Wallet ina nguvu sana mapenzi bila nguvu ya wallet hayanogi yaan wallet inabidi iwe imejaa maua Mazuri,Mkuu, wapo though it's hard to find them
Yeah, Hilo ndo la msingi zaidiMambo ya chumbani hayaletwi Sebleni yanamaliziwa huko huko chumbani
Ila wewe miaka 14 kuweza? Sio kwamba siku 2 tu ushaanza kumpelekesha Mzee wa watu?Yeah, Hilo ndo la msingi zaidi