Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Inauma kwa muda tu then atapoa tu, kuna ile mtu ulimpenda + mazoea ndo yanaumiza. Inawezekana kabisa yeye angebeba mimba na hata asiolewe, akaishia kuwa single mom tu. Wapo wanawake wengi tu walikuwa wanabembelezwa wazae, now hawaamini kilichowakuta after kubeba mimba, kuzaa sio kuolewa.

Kama anachokifanya, anakifanya kwa ajili ya Mungu wake, she is doing the best thing na Mungu anayemtumania wala hatomuacha aaibike. God has something very amazing in store for her, awe tu mvumilivu, atalia machozi ya furaha na kusema Mungu ahsante nilipita tu kule. Nampa hongera, maana wengi wetu huwa tunachagua tamaa zetu, tunamuweka Mungu wa pili; na huwa tunavuna tunachopanda kwa kweli
My binamu my lav[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] nailed it mwaa[emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Ukweli mchungu wasichana wakilokole huwa wanazingua sana.
Hawa waolewage na walokole wenzao ambao mpaka kumpata ni lazima upite kwa Mzee wa Kanisa naye Mzee Wa Kanisa aende kwanza kwa Mchungaji aseme kuwa "fulani kashukiwa" hapo Mchungaji naye mpaka atoe Baraka zake (maana mwingine unaweza kukuta ni kifaa cha Mchungaji)
Mmoja ananizingua mpaka natamani nikamtupilie mbali..!
 
Back
Top Bottom