#COVID19 Ushuhuda wangu kuhusu janga la COVID-19

#COVID19 Ushuhuda wangu kuhusu janga la COVID-19

Mimi wimbi la tatu lilinipa kash kash niliporejea kutoka kanda ya ziwa nikajisikia viungo kama vimelegea, nikakosa appetitle na uwezo wa kuhisi harufu na baadaye nikawa nakohoa na kutoa makohozi (productive cough), matibabu niliyotumia ni nyungu na sometimes dawa za paracetamol....sasa huwa najiuliza, inakuwaje nichanje wakati nimeshapata natural infection? Jambo ambalo nataka nielimishe watu ni kuwa asilimia kubwa sana ya watanzania hadi sasa wameshakuwa exposed kwa virusi vya korona, hivyo kuchanja ni useless, labda kama mabeberu watwambie hiyo chanjo ina kitu gani cha ziada hadi ichanjwe kwa watu ambao walishapata uambukizi?
Ilikuchukua muda gani kupona? Ninapitia hii hali tangu Jumatatu wiki iliyopita.
 
Ilikuchukua muda gani kupona? Ninapitia hii hali tangu Jumatatu wiki iliyopita.
Hadi harufu irudi inaweza kuchukua angalau wiki mbili, la muhimu ni kupiga nyungu angalau mara tatu kwa siku....kidogo tu kama robo kikombe cha chai, unaweza pia kutumia hizi dawa za vidonge vya mafua au zile za maji.....kama unaenda job inaweza kuwa shida kidogo, mimi kipindi hicho ndo nilikuwa nimeanza likizo, sikuwa na mikiki mikiki ya kwenda job........
 
Asante sana mkuu
 
Nyungu niliyotumia ina mchanganyiko ufuatao; vitunguu swaumu angalau 4, kitunguu maji 1, tangawizi vipande 4 ukubwa wa dole gumba, pilipili unaweza kutumia hata zile za njano wanaziita mwendikasi 4, limao 2. Saga huo mchanganyiko kwenye blender, halafu chemsha upate angalau lita 1. Ukipoa unachuja na chujio tayari unapata nyungu yako, na unaweza kuhifadhi kwenye friji ukawa unatumia kidogo kidogo.....
 
Msaada tiba kwa mwenye kuugua Corona

1. Chukua limao moja kubwa na kama ni dogo tumia limao mbili.

2. Kata kamulia kwenye kikombe mug cha chai na ondoa mbegu

3. Chukua nusu kijiko cha chai cha Bicarbonate of Soda weka kwenye hiyo juice ya limao. Itatoa povu acha litulie kwa dakika 2.

4. Weka maji moto yaliyochemka kwenye huo mchanganyiko jaza taratibu. Itafoka tena acha itulie na endelea kujaza maji moto mpaka kijae. Likibaki povu kidogo liengue kwa kutumia kijiko cha plastiki au mwiko. Usitumie kijiko cha chuma au kikombe cha chuma.

5. Matumizi ni mara 3 Kwa siku yaani saa 12 asubuhi, saa 8 mchana na saa 4 usiku Kwa siku 7.

6. Ukisha kunywa kata maganda ya limao ulilotumia weka kwenye hiyo mug weka maji Moto utaendelea kunywa mpaka itakapofika muda wa kunywa tena mchanganyiko huo.

*Angalizo: Kama una presha ya kupanda tumia robo kijiko au hata chini ya robo (nusu ya robo) na unaweza kunywa kila baada ya masaa 6 au 4 badala ya 8.
Mchanganyiko huu umesaidia sana watu wengi na kupata nafuu ndani ya muda mfupi.

Hata baada ya kupona kabisa unaweza kuendelea kutumia mchanganyiko huu hata mara mbili kila wiki insaidia sana kuweka damu katika alkalini na kirusi chochote hakiwezi kudumu kwenye damu yako.

Asanteni Sana na Neena ya Mungu ituponye. Hii ni Vita tusaidiane kuipiga.*
Hivi mnajua complication zinaletwa na corona? Ungekuwa unajua usingerahisha mambo namna hii. Ni hivi: Mtu anaweza kutumia ''tiba'' uliandika na akapona. Lakini ukweli ni kuwa siyo hiyo ''dawa'' imemponya bali hata kama asingetumia angepona. Hii ni kwa sababu wengi ya wanaougua korona hupona hata bila dawa.
 
Mimi wimbi la tatu lilinipa kash kash niliporejea kutoka kanda ya ziwa nikajisikia viungo kama vimelegea, nikakosa appetitle na uwezo wa kuhisi harufu na baadaye nikawa nakohoa na kutoa makohozi (productive cough), matibabu niliyotumia ni nyungu na sometimes dawa za paracetamol....sasa huwa najiuliza, inakuwaje nichanje wakati nimeshapata natural infection? Jambo ambalo nataka nielimishe watu ni kuwa asilimia kubwa sana ya watanzania hadi sasa wameshakuwa exposed kwa virusi vya korona, hivyo kuchanja ni useless, labda kama mabeberu watwambie hiyo chanjo ina kitu gani cha ziada hadi ichanjwe kwa watu ambao walishapata uambukizi?
Tatizo kubwa la Tanzania ni kuwa hawakutoa mwongozo kuhusu kukabiliana na corona. Wewe ulipougua ulitakiwa kwenda hospital upimwe, na kama una corona na hauumwi sana urudi nyumbani mpaka utakapopona. Wataam wanasema kama uliugua na kupona basi unakuwa umebaki na kinga na hata chanjo kuna muda unaweza kukaa bila kuchanja. Hata cheti cha kuonyesha ulishaugua na ukapona kinatambulika kama cheti cha mtu aliyechanja nchi nyingi.
 
Nyungu niliyotumia ina mchanganyiko ufuatao; vitunguu swaumu angalau 4, kitunguu maji 1, tangawizi vipande 4 ukubwa wa dole gumba, pilipili unaweza kutumia hata zile za njano wanaziita mwendikasi 4, limao 2. Saga huo mchanganyiko kwenye blender, halafu chemsha upate angalau lita 1. Ukipoa unachuja na chujio tayari unapata nyungu yako, na unaweza kuhifadhi kwenye friji ukawa unatumia kidogo kidogo.....
Nakuhakikishia siyo nyungu iliyokuponyesha. Hata ungekukaa bila nyungu ungepona. Corona ni ugonjwa ambao ukikukalia vibaya, una complication mbaya sana kwenye viungo vingine vya mwili.
 
Nakuhakikishia siyo nyungu iliyokuponyesha. Hata ungekukaa bila nyungu ungepona. Corona ni ugonjwa ambao ukikukalia vibaya, una complication mbaya sana kwenye viungo vingine vya mwili.
Point yako hasa ni nini?
 
Nakuhakikishia siyo nyungu iliyokuponyesha. Hata ungekukaa bila nyungu ungepona. Corona ni ugonjwa ambao ukikukalia vibaya, una complication mbaya sana kwenye viungo vingine vya mwili.
Pathogenesis ya korona, namna inavyoweza ku-induce immunity na resistance ni mambo ambayo hayajaeleweka kwa uwazi sana.....mwanzoni ilifikiriwa kwamba korona is primarily a respiratory disease, lakini baadaye ikaja kugundulika kwamba inaweza kuathiri mifumo mingine, a multi-systemic disease.
 
Ndiyo maana nasema nyungu ni ujinga kama ujinga mwingine tu
 
Mtu anatoa ushuhuda wa nyungu mwingine anapinga nyungu. Kundi linalopinga nyungu mnaweza kuwa hatarini kuliko wanaopiga nyungu na hawajachanjwa
 
Ilikua mwaka Jana kwenye wimbi la pili. Nilianza kujisikia homa yenye ganzi baada ya kutoka kwenye sherehe ya send off. Baadaye nikajisikia pua zimeziba mfano wa mafua makali.

Nikaenda pharmacy nikanunua termisatan nikijua ni malaria. Huku nikila malimau , tangawizi .

Strange enough hali ikazidi kua mbaya. Nikaanza kuishiwa nguvu. Wanao nizunguka wakanitengeneza mchanganyiko wa mjani nijifukize. Tatizo nilikua mbishi kwenda hospital.

Baaya ya kupiga nyungu nikaanza kukohoa damu. Nikawaomba jamaa zangu wanikimbize hospital.

Hospital oxygen saturation ikasoma 47% . nikaogopa sana. Nikawekwa kwenye oxygen for two weeks.

Covid ni hatari. Hata baada ya kutoka hospital. It took me a moth to Regain my strength. Namshukuru Mungu nilipona.
Complications nilizo experience.
1 . conjunctivitis
2.hemorrhoids
3. Vidonda kooni
4. Skin rashes
5. Complete loss of smell and taste
Namshukuru Mungu nilipona
Daah, hongera Sana mkuu kwa kupona na kutushirikisha sote, Tuzidi kupambana na kuchukua tahadhari
 
Back
Top Bottom