Baraka21
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 1,262
- 3,184
Ilikuchukua muda gani kupona? Ninapitia hii hali tangu Jumatatu wiki iliyopita.Mimi wimbi la tatu lilinipa kash kash niliporejea kutoka kanda ya ziwa nikajisikia viungo kama vimelegea, nikakosa appetitle na uwezo wa kuhisi harufu na baadaye nikawa nakohoa na kutoa makohozi (productive cough), matibabu niliyotumia ni nyungu na sometimes dawa za paracetamol....sasa huwa najiuliza, inakuwaje nichanje wakati nimeshapata natural infection? Jambo ambalo nataka nielimishe watu ni kuwa asilimia kubwa sana ya watanzania hadi sasa wameshakuwa exposed kwa virusi vya korona, hivyo kuchanja ni useless, labda kama mabeberu watwambie hiyo chanjo ina kitu gani cha ziada hadi ichanjwe kwa watu ambao walishapata uambukizi?