Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

The beyond universe hiyo. Ulimwengu mbadala ambao huitaji kuwa na macho yanayo qualify kuushuhudia.

Ila pia isikufanye upinge science procedure ambayo inasema radi ni umeme km ulivyo umeme mwingine na hutokea baada ya charges zilioko mawinguni kusuguana na radi hiyo ikipiga kitu sifa ya kwanza lazima ikiunguze kabisa maana ni moto mkubwa sana.
 
Kwahiyo unataka kusema kuwa yeye, marafiki zake, bibi yake pamoja na wanakijiji wengine walikuwa wana hallucinate kwa pamoja.
Unajua kitu kinaitwa Power of Suggestion ?

Angalia mawingu hapo alafu muambiane kama unaona kuku au simba au mchoro fulani kama kila mtu hataona hivyo...., Hizo tricks ndio huwa wanatumia wanamazingaombwe

Seeing familiar objects or patterns in otherwise random or unrelated objects or patterns is called pareidolia. It's a form of apophenia, which is a more general term for the human tendency to seek patterns in random information. Everyone experiences it from time to time.

 
Naweza kukubaliana nawewe ila. kwaupande wangu radi inaskia nakuonekana .nikiwa mdogo mvua ilipo kuwa ina nyesha nilikuwa na mtindo wakutoka nje yanyumba kuchezea mvua nakupiga kelele. au2mbinja, hapo radi itapiga kwanguvu nikitazama juu naona lama lindege .linapita basi nafurahi nakaa kidogo napiga tena linapita..sikumoja nilivaa nguo nyekundu.nimetoka dukan mvua kinanyesha nlikuwa nakimbia njia ina migomba. Namit hamad ilipiga radi ilinipita sentimita chache sana pona yangu niile kukimbia ilikosa target. Yapili nimwaka huu kwenye mwenz wa3 4. .hiinilishudia mwenyw mbezi juu tulikuwa tumeket tuna kula vitu kunakamvua mvua kunamti tuu mkubwa ghafla radi hyo hapo inazunguka juyamti kama umeme.kulikuwa na masai akachomoka akashika majani makavu akapiga magoti akaanza kuongea ewe radi sisi atuna ubaya tunakunywa tu naomba uondoke .namaneno siyakumbuk ghafla radi hyo ikaenda kuangukia mbali kidogo tukaona moshi tu ..hapo sisi tumelala chini badae tunamuliza masai anasema nikawaida tu ashazoea huko kwao
 
Kwa hiyo yule jogoo wangu mwekundu ni radi? Sawa bana
 
🤣🤣 mimi pia kwa masimulizi ya watu waliopata kuona wanasema huonekana kuku mwekundu kabla ya radi kupiga.
 
Hio Radi ilikuwa mwendo / kasi gani ? Slow Motion ?

Sababu kinachoonekana ni waves ambazo ni light na Sauti (Sound) sasa kasi ya hivyo vitu mkuu kweli unapata muda wa kupiga magoti na kupiga nayo story...

Au labda haikuwa moja zilikuwa na washikaji zao ili aliyoipigia magoti sio ile iliyopiga pengine....
 
Amna mkuu...niile radi ya mngurumo inaanza kama transforme inavoungua ndipo ibast..kama fataki xo ilikuwa inazunguka hapo juu kwamngurumo kabla masai hajaikemea ndoika lipukia sehem nyengine
 
Humu Duniani tuko watu aina mbili! wa shetani wa ki Mungu!! sasa kila mtu ataona ya kwake!............kifamilia pia tuko ivoivo!!.......kifamilia kuna mitoto mikorofi, michoyo, mijizi, mijinga Darasani,

wasumbufu kwa familia hasa lile toto la kiume la kwanza kubwa lao! hayanaga akili Basi jua kabisa hawa ni uzao wa nyoka! Tangu zama za akina Abel, Esau! Abu salum, Benjamini nk!

na kuna wale wasafi akili mingi, huruma, na mara nyingi wanasomaga sana! basi hawa ni wa roho mtakatatifu uzao wa mbinguni!
 
Mkuu kuna radi mbili ile ya asili ambayo shughuri yake tunaijua na hii ya wanchi kutengeneza ambayo mtengenezaji anaweza kuipa muonekano wowote anaotaka ata akitaka iwe na muonee wa binadamu anaweza tu sasa wewe umeona hii ya binadamu
Tuishi humu
 
Hata Mimi hii nilishudia kipindi nachunga,kuku mwekundu tena porini alikuwa anakimbia kati kati ya ng'ombe ila Mimi tayari nilishaambiwa na wazee kwa hiyo kile kitendo ilibidi nikimbie mbali kidogo kwenda kujificha,baadae alitoka akasogea kwa mbele ikatokea Mwanga wa radi,na kilichofuata pale ngurumo la hatari.

Na hata wengine wengi pia walishudia ,japo sayansi wanakataa.

Na nillisema nikimuona kwa mara ya pili nitamuua alafu nijue ni nn kingenotokea
 
Mkuu ni Kijiji Gani upo? Siajabu upo Singapore a.k.a Sumbawanga
 
Option 1: tuamini tu maneno yako sababu umeona

Option 2: huenda una hallucination na unaona vitu ambavyo havipo...

Nadhani option 2 ni more plausible
Hiyo hallucination ndio wawe nayo kijiji kizima.?
 
Science inatafsiri uumbaji kwa level za kibinadamu.

Hivyo mpaka hapo baadae sana science itakapo kuwa more advance wanaweza kuja kugundua mambo tofauti kabisa.

Mfano hapo kale watu waliamini kuwa dunia ni tambarare ila baada ya vumbuzi nyingi tukaja gundua kuwa ni duara. Ingawa bado kuna discussions nyingi tu as to whether dunia ni tambarare au duara.

Mambo mengi bado hatujayafahamu.

Science sio ya kuamini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…