Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Wa uwanja wa fisi wana matako ma3 au
Hao wenye matako matatu ndo atoe mpaka tako ili mwanae ale [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huyo mtoto anakula kg ngapi bwanawee ebu acheni kushusha wanawake kiasi hicho huko makwenu hamkuwahi kukosa kitu je mama zenu walikuwa wanaenda kutoa kwa mpalange ili mpate? [emoji57] huyo singo mama ulokutana nae anafirwe ndo mtoto ale ni mvivu tena badala ya kuja kumwandika huku ni bora ungemchapa kwanza akili imkae sawa. Mi nnavyojua stds zinaweza mpata yoyote ambae hayuko makini na michezo yake magonjwa hayajaumbiwa singo maza au married acha ushamba
 
Refusha na kunenepesha uume kwa size unayoitaka wewe kwa bei poa tu
Ongeza size na unene wa uume ndani ya muda mfupi tumia
*DAWA HII ILIYOFANYIWA UCHUGUZI NA KUSAIDIA WATU WENGI UNASAFIRIZHIWA NDIPO ULIPE EPUKA MATAPELI
* Ni Dawa asilia ya kuongeza size na unene wa uume wako,inanenepesha na kuongeza ukubwa na urefu wa uume wako kwa muda mfupi, ni dawa isiyo na kemikali, imetengenezwa kwa kutumia virutubisho vya mimea asilia, ni dawa bora inayotumiwa na wengi wameipenda, inarefusha na kunenepesha size ya uume wako kwa haraka ,ni ndani ya siku 5 tu unapata matokeo
JINSI YA KUTUMIA ni rahisi ,unapaka kwenye uume wako baada ya kuoga na kupaka mafuta yako ya lotion au mgando,inauwezo wa kuongeza uume
AGIZA SASA PIGA SIMU!
+255 744393735
Chupa nzima inapatikana kwa Tsh 30'000/= ,pia ukitaka ya kupima kulingana na size unayotaka,mfano ya kuongeza ukubwa wa kuanzia inch 1 ni sh Tsh 20,000/= tu
Agiza utumiwe popote ulio ndani ya Tanzania, mikoani na nje ya nchi tunatumaa
 
Hao wenye matako matatu ndo atoe mpaka tako ili mwanae ale [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huyo mtoto anakula kg ngapi bwanawee ebu acheni kushusha wanawake kiasi hicho huko makwenu hamkuwahi kukosa kitu je mama zenu walikuwa wanaenda kutoa kwa mpalange ili mpate?
Huna akili....hapa tunawazungumzia singo maza, mimi nimezaliwa kwenye ndoa na sikuwahi kuona singo maza kwa kizazi kile...

Hata useme vipi,kuingia kwenye mahusiano na singo maza ni bora ukalale kituo cha polisi
 
Hakuna mwanamke anayeweza kuniacha Ndugu. Kiufupi Mimi ni mtu mwenye msimamo mkali sana, huwa sipendi kuyumbishwa kwenye kitu ninachokiamini.

Kabla sijaacha,...lazima nijiridhishe na niwe na sababu za kuacha.

Ni mtu mwenye maamuzi, uthubutu, mkweli na mwenye utayari.

Nikimpenda mwanamke ,..huwa ni huyo huyo..nakua Muaminifu kwake. Sipendi kushare mapenzi. Ukinisaliti , ndo inakua Imeisha hiyo. And I don't care!
Yani mtu anayekupenda baada ya wewe kumjali, hakuna kitu hapo. Siku ukiyumba kiuchumi ukasitisha huduma hata kidogo atakuwa si wako tena anaenda kwenye fursa.
Upendo unatakiwa uwepo tu bila condition yoyote
 
UPDATE
Binafsi huwa sijali kuhusu mapito ya mtu, hata kama ukiniambia aliwahi kubakwa kama nimeamua kuwa nae ntaendelea nae. Kuna wanawakre wanaonekana hawana maana lakini amini amini nakwambia huyo mwanamke unaemuona wa maana ndio atakupa maradhi.
Nikirudi kwa Songle mother wengi hukosa watu waaminifu hasa kutokana na hii mindset ya hovyo vichwani mwa watu, so weng huwa approach kwa nia ya ngono pekee na si zaidi. Kiukweli kwa experience yangu ukimuonesha kunjali na kumfanya ajionr salama kwako ni watu watiifu sana. Imagine huyu wangu kwa sasa namuona kabisa sio kama zaman wakati sijaonesha kumjali.
Interested
 
Sio kila mzinzi ni singomama, wapo wengi tuu wanazinihadi kuvunja ndoa lakini sio singomama

Sio kila anayetafuta mahitaji ya watoto ni singomama, wapo wanawake wengi wenye waume wasiotoa mahitaji ya chakula, mavazi wala malazi kwa watoto zao

Sio kila singomama ana shida ya pesa, wengine wanajitosheleza sana tuu kiuchumi
Umeongea vizuri sana.....Unatumia Kinywaji gani? Nimwambie Waiter akuletee hapo karibu...
 
Huna akili....hapa tunawazungumzia singo maza, mimi nimezaliwa kwenye ndoa na sikuwahi kuona singo maza kwa kizazi kile...

Hata useme vipi,kuingia kwenye mahusiano na singo maza ni bora ukalale kituo cha polisi
Wewe mwenye akili mpaka zinamwagika jifunze kuzitumia vizuri sio kukashifu watu umalaya na usingo maza haviingiliani, umalaya ni hulka ya mtu binafsi ila usitake kuaminisha watu kuwa singo maza wote ni ntombe nkale labda wa kwenye ukoo wako tu
 
Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza masharti nikitaka kutoka nae mara yupo bize.
Katika kutafakari nikaona atanisumbua niachane nae lakini siku nimeamua kuachana nae nikamsikia akikopa pesa kwa mtu kwa ajili ya mwanae shule. Basi imani ikaniingia nikampa kile kiasi cha pesa. Nikashangaa mahaba yamerudi kama mwanzo. Nikabaini uzaifu wake ni mwanae. Basi weekend moja nikamchukua mpaka mall flan ya watoto nikamwambia amchagulie mwanae anachotaka. Halooo, week 2 badae jamaa aliyetetelesha penzi langu nikaona anatuma meseji na kupiga simu kila mara anabembeleza penzi. Ebana mie huyu mwanamke sasa hivi sina time nae na deal na mwanae tu, akiamka nishamuiliza mahitaji ya shule, akikaa vibaya nishamwambie nimelipia twisheni atampeleka basi hata mzigo siku hizi siombi napewa tu popote ntapokutwa tofauti na zaman mpaka niombe tupange lini tunatoka.
"nikajaribu kumuhoji akawa mkali"

Single mother hahojiwi.

Hongera mkuu endelea kujitoa hadi siku mtoto awe mkubwa apelekwe kwa mzee nyange
 
Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza masharti nikitaka kutoka nae mara yupo bize.
Katika kutafakari nikaona atanisumbua niachane nae lakini siku nimeamua kuachana nae nikamsikia akikopa pesa kwa mtu kwa ajili ya mwanae shule. Basi imani ikaniingia nikampa kile kiasi cha pesa. Nikashangaa mahaba yamerudi kama mwanzo. Nikabaini uzaifu wake ni mwanae. Basi weekend moja nikamchukua mpaka mall flan ya watoto nikamwambia amchagulie mwanae anachotaka. Halooo, week 2 badae jamaa aliyetetelesha penzi langu nikaona anatuma meseji na kupiga simu kila mara anabembeleza penzi. Ebana mie huyu mwanamke sasa hivi sina time nae na deal na mwanae tu, akiamka nishamuiliza mahitaji ya shule, akikaa vibaya nishamwambie nimelipia twisheni atampeleka basi hata mzigo siku hizi siombi napewa tu popote ntapokutwa tofauti na zaman mpaka niombe tupange lini tunatoka.
So what is the purpose of this relationship?? Au ndo bater trade?
 
Fanya research utanishukuru.

Siri iko hapa:-

Mwanamke yeyote akiwekwa kwenye mikono ya Mwanaume...then akajifanya mbabe wa kutosubmit kwà huyo mwaume..akawa mbishi, mjeuri, kiburi, dharau,...Then Mwanaume huyo akachoka kumbeba na akaamua kumuacha...asee ..mara nyingi mwanamke huyo hawezi tena kuwa salama. Atakua mtu wa kugongwa na kuachwa. Hata kua mtamu tena.

Note: Mwanamke anakuaga mtamu akiwa anagongwa wakati bado yupo kwà mumewe. Lakini akiachwa..huwa hawi tena mtamu. Hivyo ndo maana wanawake walioachwa wanaongoza kwà kugawa Matako kuongeza maudambwiudambwi.
Ukiwa nae kitandani..ukijisahau kidogo tu unawezashangaa kaihamishia mtaroni...hatari sana!
Muongo sana wewe,sijui hii research yako umeifanyia wapi,kuna single mother wanajiheshimu sana tu, na a unakuta amekuwa single kwa sababu alikutana na mwanaume kichaa asiyejuelewa,Sasa walivyoachana akabaki yeye kama yeye,sio kila s m ni Malaya,acheni kupotosha watu kwa vi research vyenu uchwara
 
Back
Top Bottom