Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Yaani wewe umeuliza mtu upo positive kabisa. Halafu uje upone. Hiyo ni never. Sasa hapa mbona umeexplain kutopata maambukizi?Ukishakuwa positive hutakaa upone sana sana ARV zitatuliza makali ya virus tu.
 
Pole sana Priscallia pia hongera kwa kujielewa na kuweka wazi hii itasaidia wengi sana kujitafakari na kufanya maamuzi sahihi katika swala zima la mapenzi na mahusiano. Nakutakia kila la heri katika mipango yako ya kuanzisha familia Mungu akupe watoto na afya njema pia ili ukawe mama bora kwao
 
Dah! Mkuu!
 
Mtu mwenye ukimwi hawezi kupata nguvu na ujasiri wa kuandika maneno yote haya Wala hawezi kujitangaza hadharani watu wamjue. UKIMWI usikieni tu mwenye nao hawezi kujianika hadharani hata siku moja..Wanaofanya hivyo ni promo tu lakini in real sense hawana so l guess mleta mada ni mtumishi katika idara ya kuzuia na kupambana na virusi vya UKIMWI kitengo cha uelimishaji wa maambukizi mapya ya VVU...Hapa amevaa uhusika kwa lengo la kutufikishia elimu ya matumizi ya kinga wakati wa kujamiiana, Tumshukuru sana kwa elimu aliyoitoa
 
Alafu ushapigana miti na watu 20 hapa,na wao wakipigana miti na 20×20=200 km hesabu sikosei alinifundisha mwalimu legembo then piga mara 200 tena.
Viwanda viko kazini.
We unamchuna profesa ulitwambia kumbe kakuachia package ukadance nayo.
 
Aisee ndio yeye kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…