Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

nakushauri fuatilia kuhusu mada hii INNATE RESISTANCE TO HIV mkuu najua hii issue itawaumiza kichwa watu wengi na watabisha ningekuwa na direct way ya ku proove ningesha proove , na labda haukunielewa ila kinachotokea ni hichi mfano nika sex labda na hiv possitive sio kwamba sipati maambukizi hapana napata vizuri tu ila kutokana na seli hai zangu kukosa vipokezi wataalam huita receptor proteins kirusi huwa hakina uwezo wa kuingia ndani ya seli na kujigawa hivyo hubaki ndani ya damu tu na huondoka baada ya siku 110-120 kwa mujibu wa madaktari hivyo narudi kama mwanzo HIV NEGATIVE.
Yaani wewe umeuliza mtu upo positive kabisa. Halafu uje upone. Hiyo ni never. Sasa hapa mbona umeexplain kutopata maambukizi?Ukishakuwa positive hutakaa upone sana sana ARV zitatuliza makali ya virus tu.
 
Pole sana Priscallia pia hongera kwa kujielewa na kuweka wazi hii itasaidia wengi sana kujitafakari na kufanya maamuzi sahihi katika swala zima la mapenzi na mahusiano. Nakutakia kila la heri katika mipango yako ya kuanzisha familia Mungu akupe watoto na afya njema pia ili ukawe mama bora kwao
 
Ukamvulia Prof pichu mkapiga peku bila kujua status yake ya sexual transmitted diseases.
Ndo maana mimi nalilia kila siku tuwafundishe vijana wetu watumie condom wanapoanza form one. Tena unawaambia kila mtu ni HIV positive except wewe. Hivyo condom is a must.

Mimi haujanitomba bila condom aisee. Hata mimi nilitongonzwa na prof wala sikumkubalia.
Baada ya mwaka akaanza kuugua kumbe alikuwa na ngoma.
Kila sehemu kumeoza. Condom is a must hata kama mmepima,maana mtu kama prof anapiga wengi. Ukiona upo nae jua na wengine atatongonza.
Pole,ila na wewe ni moto,yaani umeshakutana na wakaka tena humu JF.Why wakaka ? Ina maana kila mnaekutana nae haufall in Love ?
Unaonekana wewe Kicheche,ndo maana ukatembea na Prof wako.
YOU GOT,WHAT YOU DESERVED.
Endelea kutumia ARV.
Dah! Mkuu!
 
Mtu mwenye ukimwi hawezi kupata nguvu na ujasiri wa kuandika maneno yote haya Wala hawezi kujitangaza hadharani watu wamjue. UKIMWI usikieni tu mwenye nao hawezi kujianika hadharani hata siku moja..Wanaofanya hivyo ni promo tu lakini in real sense hawana so l guess mleta mada ni mtumishi katika idara ya kuzuia na kupambana na virusi vya UKIMWI kitengo cha uelimishaji wa maambukizi mapya ya VVU...Hapa amevaa uhusika kwa lengo la kutufikishia elimu ya matumizi ya kinga wakati wa kujamiiana, Tumshukuru sana kwa elimu aliyoitoa
 
Alafu ushapigana miti na watu 20 hapa,na wao wakipigana miti na 20×20=200 km hesabu sikosei alinifundisha mwalimu legembo then piga mara 200 tena.
Viwanda viko kazini.
We unamchuna profesa ulitwambia kumbe kakuachia package ukadance nayo.
 

2208175_45414131_2494631413887161_3290173068759.png



Dada mzuri kabisa alafu anasema ameathirika
Aisee ndio yeye kabisa
 
Back
Top Bottom