Sasa kwanini hamkukaa mkafanya maisha pamoja?labda sijakuelewa main post naona umesema kitu kama mkewe alifariki au ni babu mtu mzima sana?Nimekwisha msamehe mkuu, na tunawasiliana nae vizuri tu na maisha yanasinga
Nikweli mkuu mimi si mzuri sana kwenye uandishi ila ataambulia kituUmejibu vizuri sana,ila iko kitaalamu zaidi na umefupisha sana maelezo yako as if unamjibu mtu ambaye ni professional kwenye hiyo fani ya utabibu...
Let us make appointment arrangement ya blood test.Na kilichomfanya atembee nao huku akijua ni mgonjwa nao ni uuwaji!
Halafu mtu anaongea kma jambo la kawaida kafanya,wakti ni mauaji ya halaiki wa wazee wa kutembelea rim jfNa kilichomfanya atembee nao huku akijua ni mgonjwa nao ni uuwaji!
..............Sure!!!Asante, muwe makini tu huko uraiani kumechafuka sana na hali ya uchumi ilivyo mbaya maambukizi yataongezeka sana. Mjitahidi kama hamuwezi kuwa na mpenzi mmoja basi jitahidini mtumie mipira jamani
Rafiki leo tule tunda kimasihara basi![emoji23][emoji23][emoji23]Naona kumekucha.
Yaani...she is heartless[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Viki lol!
Makavu live .
Sina hamu na msukuma wewe yaani kama mzaramo vile unavoshushua khaaaa
Dooh!!! Hivi rafiki hiyo kula tunda kimasihara ndio aje? 😀Rafiki leo tule tunda kimasihara basi![emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nipe no yke nami nifaudu mana mabaharia hatuogopi kutembelea rimKuna mtu ameona hii sura pressure na kisukari vyote vikapanda kwa mpigo! View attachment 1275172