Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Sasa kwanini hamkukaa mkafanya maisha pamoja?labda sijakuelewa main post naona umesema kitu kama mkewe alifariki au ni babu mtu mzima sana?Nimekwisha msamehe mkuu, na tunawasiliana nae vizuri tu na maisha yanasinga
But vyovyote ilivyo nakupa pole sana kwa changamoto hii kubwa uliyokutana nayo ukiwa bado bint m'bichi kabisa.