Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Na wewe ushaliwa na wa JF

Daaah mi nafeli wapi[emoji1787][emoji1787]

Kumbe watu wanakulana serious humu aisee [emoji44]
 
Hapo "... nilikuwa nawajali Sana.."

Pamejitafakarisha Sana daah
 
Ilikuwaje hiyo kiongozi
 
Sista nimekupenda bure.wewe siyo mbinafsi.Unaonekana kutopenda wengine yawapate yaliyokupata.ulichoeleza kitasaidia wengi sana.trust me ujumbe wako ni timely hasa kwa tunapolekea tarehe 1.December.
 
Ilikuwaje hiyo kiongozi
Kuna dem alikuja kulalamika kwamba kuna mtu humu jamvini anasambaza ukimwi... Akatokea dem mwingine nayeye keshatambea na huyo mtu.. Sasa wakaanza kurushiana maneno.. Sasa sijui kilitokea nini adi wakaanza kurusha picha halisi
 
duuu hatari sana hiyo aisee, uzi umo bado humu niucheki
 
Ukiacha zinaaa unaepukana na mengi, cha msingi nii kubakia njia kuu, usiruhusu michepuko ikuchepue mwisho wake ndiye haya. Pole sana ila pengine ungejistiri mpk ndoa Leo hii usingekua apaa. Yote na yote shukrani kwa ukumbusho.
 
Vijana PIGENI NYETO narudia pigeni NYETO ... nguvu za kiume zikiisha kuna VIAGRA ... juice ya tende... karanga...nazi... maombi...HIV/AIDS KILLS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…