Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Na wewe ushaliwa na wa JFLastly, kuna vijana baadhi nilikutana nao humu ndani they were good guys lakni niligundua wengi wao hawajali afya zao na wanaongozwa sana na sexual desire, maana unakuta mwanaume mko nae faragha baada ya mzunguko wa kwanza from nowhere anataka muende peku au katikati ya tendo anavua mpira kwa makusudi, wanajijua watakuwa mashahidi nilikuwa nawakatilia katukatu maana nilikuwa nawajali sana.
Duh....hapa sasa.....
Daaah mi nafeli wapi[emoji1787][emoji1787]
Kumbe watu wanakulana serious humu aisee [emoji44]