Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Hongera kwa kuwa mjasiri na kutoa ushauri

Lakini kwa mujibu wa maelezo yako ya mwisho inaonekana kama umepiga game na wanaume kadhaa humu

Anyway all in all I like u
hapana sikuwa na nia ya kushiriki nao,sema ni ile mnajikuta katika mazingira fulani na mnajikuta mpo kitandani
 
nimemshangaa sana huyu dada.. wanawake kweli akili hawana...

yaani mtu anakuambukiza deadly desease kama hiv.. halafu unasema anakupenda sana...


kama kweli unampenda utamlinda. hujawai kuona hata hilo tangazo ..

who imeiweka hiv na aids kama deadly desease.. wewe unasema aliekuambukiza anakupenda..

ungekuwa dada yangu huyo mwalimu ningemfata.. na wewe ningekupiga makofi.. ungesema anakupenda mbele yangu

 
Mama aaa! Alafu alikuwa anajisifia! Hakika anavuna matunda aliyoyapanda huyu
 
Pole sana mkuu, mimi kitu cha cha kwanza kabla sijakugegeda lazma nikupime damu Aiseee.
na pia una ujasiri sana mdada, hivi mimi nikiambiwa muathirika si nitaanza kutembea uchi barabarani, inahitaji moyo wa ziada aisee
Hivi ukimpima mtu, hayo si ni majibu ya miezi mitatu iliyopita..!!! KAMA KAUPATA JANA JE...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…