Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Waungwana , tafuteni hiki kitabu mkisome taratibu na kwa utulivu.
DFEF0D50-1982-4BD6-9335-1C01961AD0B4.jpeg
 
Kuna members fulani humu maarufu (Jinsia Ke) wamejaliwa uzuri.Walikuwa wanashea jamaa naye yupo humuhumu,Jamaa kakutwa na ngwengwe mademu wamebaki kushikana mashati kila mtu anamtuhumu mwenzie kuwa ndo kaleta cheni ya Ngwengwe.Be careful with Jamiiforums
asante kwa kutoa angalizo, sijajua jamii ya kike humu ndani inanichukuliaje. Mimi nimeguswa kwa namna moja ndio maana nimeamua kwa dhati kuleta uzi huu ili kuwafumbua macho baadhi ya members both ME na KE ila nimeishia kusemwa sana.

Naongea kweli kutoka moyoni, muwe makini sana na baadhi ya Wanawake/wanaume humu ndani mostly wale maarafu wanaona kama nawaharibia mambo yao lakni hapana, Mungu akijaalia nitakuja na uzi mwingine kuwafungua macho zaidi. Na wengi siku za hivi wamebadili ID zao wamekuja na ID mpya ukiwa makini ni rahisi kugundua wanajua walichowafanyia baadhi ya member humu ndani. Inaumiza
 
asante kwa kutoa angalizo, sijajua jamii ya kike humu ndani inanichukuliaje. Mimi nimeguswa kwa namna moja ndio maana nimeamua kwa dhati kuleta uzi huu ili kuwafumbua macho baadhi ya members both ME na KE ila nimeishia kusemwa sana.

Naongea kweli kutoka moyoni, muwe makini sana na baadhi ya Wanawake/wanaume humu ndani tena wale maarafu mostly wanaona kama nawaharibia mambo yao lakni hapana, Mungu akijaalia nitakuja na uzi mwingine kuwafungua macho zaidi.
Weka uzi leo leo mkuu
 
Ila ungekuwa umeguswa ungeleta kwa ID yako wanayoijua uliotembea nao humu JF. Ili wajue mstakabali wa afya zao.Incase walikupiga peku peku. Walinde wenzako.
Asante kwa kuwakilisha mawazo yangu,anashangaa member kubaridi I'd huku ajishangai yeye kukosa ujasiri kutoa ushuhuda kwa i'd yake iliyozoeleka kifupi ana nia ya kuusambaza kama kweli hii mada ni uhalisia wake.
 
Huyu siyo jasiri. Kwanini afiche Utambulisho wake. Jasiri hafichi Utambulisho
Nimefanya hivyo ili kuepuka panic kwa baadhi ya member's humu ndani. Maana ningekuja kwa ID ya zamani na hakika kuna watu wasingekuwa na hali nzuri ile jana.

Pia nimefanya hivi, nafahamu fika kama waliweza kulala na mimi najua fika wamelala na wengine pia, kuepuka mvurugano wa kujua ni fulani kaleta hii habari ndio maana nimekuja na Id hii mpya.
 
Priscallia,
Mimi nimeguswa kwa namna moja ndio maana nimeamua kwa dhati kuleta uzi huu ili kuwafumbua macho baadhi ya members both ME na KE ila nimeishia kusemwa sana,Usijali sana kuhusu hili lakini kaa ukijua Mungu atakubariki kwa kuwa ni wengi watasalimika kwa huu uzi wako.Ninacho shangaa ni hao unaosema unawajua na wamebadili ID zao,lengo lao ni nini hasa,kuwapakaza watu huo ugonjwa ili wawe wengi au ni katika kujitafutia rizki zao ndio kwa bahati mbaya wanaambukiza watu wengine...?
 
Yaani wewe umeuliza mtu upo positive kabisa. Halafu uje upone. Hiyo ni never. Sasa hapa mbona umeexplain kutopata maambukizi?Ukishakuwa positive hutakaa upone sana sana ARV zitatuliza makali ya virus tu.
Huna Elimu ya Afya unabisha usichokijua, mimi sio kwamba namsapoti ila ninaelimu ya Immunology na hiko kitu kipo kwa watu wa America au ulaya alafu wewe unabisha bila kutoa fact kitaalamu

Labda awe anadanganya ila alichokiandika yupo sahihi,Some people wana lack CD4 receptor/zime under mutation so HIV virus haviwez ingia ndani ya CD4 Cells na CCR5 receptors na husaidia pia kuunganika kati ya glycoprotien(gp120) iliyopo on the surface of HIV virus

Sasa mtu aki luck CCR5 receptor HIV itabind pekee kwakutumia CD4 reptors ambapo mwisho gp120 iliyopo kwenye HIV virus ita under go shedding, Lastly hawezi tena kuingia ndani ya T helper cell(CD cell)

Sasa kama vitu kama huvijui usibishe, jaribu kujifunza Ahsante
 
Ila ungekuwa umeguswa ungeleta kwa ID yako wanayoijua uliotembea nao humu JF. Ili wajue mstakabali wa afya zao.Incase walikupiga peku peku. Walinde wenzako.
Hapana na maana yangu kufanya hivi, bado watu hawajiulizi kuna baadhi ya member humu walikuwa maarufu sana kwenye baadhi ya forum na hili likiwemo lakni wameishia kupotea ama kubadili Id ni kwamba wengi wanajua walichowafanyia baadhi ya member sio vizuri kuepuka tafurani wamebadili Id.
 
Back
Top Bottom