Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Ndo maana nikaandika ID yake mpya! Bado hana ujasiri wa kutumia ID ya zamani kujitangaza!Huyu siyo jasiri. Kwanini afiche Utambulisho wake. Jasiri hafichi Utambulisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nikaandika ID yake mpya! Bado hana ujasiri wa kutumia ID ya zamani kujitangaza!Huyu siyo jasiri. Kwanini afiche Utambulisho wake. Jasiri hafichi Utambulisho
Kwani unamfahamu?Aisee ndio yeye kabisa
Hahahaaa! Maana katika kula kimasihara hakuna hata mmoja aliyetaja kondomWala tunda kwa masihara sauti inatosha au sound engineer aongezee...
Uzi unaitwaje dear?Sijazihifadhi ila naamini kwenye ule wa picha bado zipo.
![]()
Selfika na JF. Snap it. Show it
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na...www.jamiiforums.com
![]()
Dada mzuri kabisa alafu anasema ameathirika
[emoji4]Uzi unaitwaje dear?
Majibu ni kuwa huyu Purisilaaa simjuiii...
asante kwa kutoa angalizo, sijajua jamii ya kike humu ndani inanichukuliaje. Mimi nimeguswa kwa namna moja ndio maana nimeamua kwa dhati kuleta uzi huu ili kuwafumbua macho baadhi ya members both ME na KE ila nimeishia kusemwa sana.Kuna members fulani humu maarufu (Jinsia Ke) wamejaliwa uzuri.Walikuwa wanashea jamaa naye yupo humuhumu,Jamaa kakutwa na ngwengwe mademu wamebaki kushikana mashati kila mtu anamtuhumu mwenzie kuwa ndo kaleta cheni ya Ngwengwe.Be careful with Jamiiforums
Weka uzi leo leo mkuuasante kwa kutoa angalizo, sijajua jamii ya kike humu ndani inanichukuliaje. Mimi nimeguswa kwa namna moja ndio maana nimeamua kwa dhati kuleta uzi huu ili kuwafumbua macho baadhi ya members both ME na KE ila nimeishia kusemwa sana.
Naongea kweli kutoka moyoni, muwe makini sana na baadhi ya Wanawake/wanaume humu ndani tena wale maarafu mostly wanaona kama nawaharibia mambo yao lakni hapana, Mungu akijaalia nitakuja na uzi mwingine kuwafungua macho zaidi.
Kuwa na amani.Wee dada tafadhali sana tena sana, usije ukawa ni yule.
Asante kwa kuwakilisha mawazo yangu,anashangaa member kubaridi I'd huku ajishangai yeye kukosa ujasiri kutoa ushuhuda kwa i'd yake iliyozoeleka kifupi ana nia ya kuusambaza kama kweli hii mada ni uhalisia wake.Ila ungekuwa umeguswa ungeleta kwa ID yako wanayoijua uliotembea nao humu JF. Ili wajue mstakabali wa afya zao.Incase walikupiga peku peku. Walinde wenzako.
Nimefanya hivyo ili kuepuka panic kwa baadhi ya member's humu ndani. Maana ningekuja kwa ID ya zamani na hakika kuna watu wasingekuwa na hali nzuri ile jana.Huyu siyo jasiri. Kwanini afiche Utambulisho wake. Jasiri hafichi Utambulisho
tuombe uzima mpendwaWeka uzi leo leo mkuu
Huna Elimu ya Afya unabisha usichokijua, mimi sio kwamba namsapoti ila ninaelimu ya Immunology na hiko kitu kipo kwa watu wa America au ulaya alafu wewe unabisha bila kutoa fact kitaalamuYaani wewe umeuliza mtu upo positive kabisa. Halafu uje upone. Hiyo ni never. Sasa hapa mbona umeexplain kutopata maambukizi?Ukishakuwa positive hutakaa upone sana sana ARV zitatuliza makali ya virus tu.
Hapana na maana yangu kufanya hivi, bado watu hawajiulizi kuna baadhi ya member humu walikuwa maarufu sana kwenye baadhi ya forum na hili likiwemo lakni wameishia kupotea ama kubadili Id ni kwamba wengi wanajua walichowafanyia baadhi ya member sio vizuri kuepuka tafurani wamebadili Id.Ila ungekuwa umeguswa ungeleta kwa ID yako wanayoijua uliotembea nao humu JF. Ili wajue mstakabali wa afya zao.Incase walikupiga peku peku. Walinde wenzako.