Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA

Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu
1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3.
2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika.
3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle license kulimbikizana na kutokulipika hadi mamillioni.

Serikali itafakari upya huu ni mzigo mkubwa sana kwa wamiliki wa wananchi.
 
Poleni, wengine walishaamua kuyapaki magari

Ova
 
Back
Top Bottom