Usiamini chozi la Mwanamke kamwe. Fanya maamuzi kwa akili yako

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
681
Reaction score
1,020
Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe.

Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma kwa utopolo wake.

"Oooh nilimkamata na nanii akaanza kulia sana ikabidi nimsamehe" ukaanza kusema " Unajua nini itakuwa demu ananipenda sana"

Hapo umeumia mkuu. Kabla ya kusamehe hakikisha umejihidhirisha na ukaamua mwenyewe sio machozi yake.

Thanks me later
 
Hizo ni take away.. Ukishatumia unatupa
 
sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…