Usiamini chozi la Mwanamke kamwe. Fanya maamuzi kwa akili yako

Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Mi huwa nawanunulia wanaotaka sumu. Kwanza nakurarua kisha nakwachia hio sumu......comedian is approaching.....
 
Hivi kuna mwanaume ana kaza mwanamke akilia yaani hatoi msamaha
Wapo wenda mm ni miongon mwao. Napenda sana aman sipendi marumbano kwaiyo naweza kukuacha huku unajiona kwa kudhan umeshinda.
Huwa na napenda kusema "sawa tuachane nayo" sasa kama ww unadhania namaanisha nimekusamehe ni ww mwenyewe huko utajijua ila mm namaanisha sipendi kelele
 
Kaka nitumie namba zako nikutumie vocha hakika usimsamehe mwanamke kwa chozi lake milele
 
Wapo wenda mm ni miongon mwao. Napenda sana aman sipendi marumbano kwaiyo naweza kukuacha huku unajiona kwa kudhan umeshinda.
Huwa na napenda kusema "sawa tuachane nayo" sasa kama ww unadhania namaanisha nimekusamehe ni ww mwenyewe huko utajijua ila mm namaanisha sipendi kelele
Kinachofuata baada ya hapo
 
Wanasema chozi la mwanamke ni silaha ya utetezi. Nasema uongo jamani?
 
Mhhhh!!!, hamna Janja hiyo, mbona tumeshuhudia Wengi tu wakibubujikwa na michozi kisa ishu za mahusiano.

Wanalia kwa sababu hawana plan b na unakuta ni tegemezi kwa mwanaume ndo mana analialia kutana na wanawake wa shoka ndo utajua hujui analiliwa mwenye pesa tu akijua hapa kuna maslahi apart from that uuh no no no not today..[emoji28]
 
Hivi wewe Flashfifry,nikiwa nakupelekea mkuyenge wa maana a.k.a moto,ukanipenda halafu siku ya siku tukazinguana,nikataka kukuacha huwezi kulia,japo sina pesa??.
 
Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Ahaaa!!,Sawa, Kumbe Mimi nilivyokusamehe umeniona mjinga?,Sasa kwa taarifa yako naenda kukununulia sumu inayoua vizuri na haraka Ili unywe tu,km ni mwanamke nitatafuta mwingine, maana mpo wengi Mbona.Nimeshajua jeuri yako.
 
Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Hapo ndio umeharibu kila kitu
 
Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Umekutana na boya. Cross my path i swear hiyo sumu ningekununulia mwenyewe.. nakusimamia mpaka unywe. Halaf dont care hahaha

Mwanaume akiwa weak ndio anaingilika kiboya hivyo.. a.k.a hana msimamo.. mamas boy

Wadada hawapendi mwanaume ambae hana msimamo. Wanakosa mvuto
 
Back
Top Bottom