NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
- Thread starter
-
- #21
Daah hongera sana kwa kumpata huyo kiumbe dhaifu 😀Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Ulijuaje kuwa machozi yake hayakuwa ya kweli??.Kuna mmoja tulikosana akanitumia voice note WhatsApp analia huku akiomba msamaha. Machozi yao wengi sio ya kweli drama tupu
Mhhhh!!!, hamna Janja hiyo, mbona tumeshuhudia Wengi tu wakibubujikwa na michozi kisa ishu za mahusiano.Kheeee!! Hivi kumbe kuna wanawake bado wanaliaga kutafuta attention ya kusamehewa kwa kweli kama wapo wanatakiwa wauliwe walah.. sasa hvi ni show show tutalilia baba zetu only
Mi huwa nawanunulia wanaotaka sumu. Kwanza nakurarua kisha nakwachia hio sumu......comedian is approaching.....Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Hivi kuna mwanaume ana kaza mwanamke akilia yaani hatoi msamaha
Wapo wenda mm ni miongon mwao. Napenda sana aman sipendi marumbano kwaiyo naweza kukuacha huku unajiona kwa kudhan umeshinda.Hivi kuna mwanaume ana kaza mwanamke akilia yaani hatoi msamaha
Umetisha mamyHamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Kinachofuata baada ya hapoWapo wenda mm ni miongon mwao. Napenda sana aman sipendi marumbano kwaiyo naweza kukuacha huku unajiona kwa kudhan umeshinda.
Huwa na napenda kusema "sawa tuachane nayo" sasa kama ww unadhania namaanisha nimekusamehe ni ww mwenyewe huko utajijua ila mm namaanisha sipendi kelele
Naondoka ama nabadiri topic. Hapo utaondoka mwenyewe tu maana utaona mabadiriko sina tena time na ww kama mwanzo nafocus kwenye mambo yangu tuKinachofuata baada ya hapo
Ndo mana unazeekea home unapelekewa moto tu
Mhhhh!!!, hamna Janja hiyo, mbona tumeshuhudia Wengi tu wakibubujikwa na michozi kisa ishu za mahusiano.
Hivi wewe Flashfifry,nikiwa nakupelekea mkuyenge wa maana a.k.a moto,ukanipenda halafu siku ya siku tukazinguana,nikataka kukuacha huwezi kulia,japo sina pesa??.Wanalia kwa sababu hawana plan b na unakuta ni tegemezi kwa mwanaume ndo mana analialia kutana na wanawake wa shoka ndo utajua hujui analiliwa mwenye pesa tu akijua hapa kuna maslahi apart from that uuh no no no not today..[emoji28]
Ahaaa!!,Sawa, Kumbe Mimi nilivyokusamehe umeniona mjinga?,Sasa kwa taarifa yako naenda kukununulia sumu inayoua vizuri na haraka Ili unywe tu,km ni mwanamke nitatafuta mwingine, maana mpo wengi Mbona.Nimeshajua jeuri yako.Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Mwanamke akiwa analia unamla tu , yaani ukikuta analia unamfanya unachotaka.. alafu wanakuwa wazuri na watamu pindi waliapo na hata ile hali ya u romantic huwa inazidiWanafanya ushenzi wakijua ukiona wanalia utawahurumia
Hapo ndio umeharibu kila kituHamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Umekutana na boya. Cross my path i swear hiyo sumu ningekununulia mwenyewe.. nakusimamia mpaka unywe. Halaf dont care hahahaHamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.