Mkubwa umesema vyema sana. Huwa unamwambia lia ukimaliza tunaanza upya. Wajinga sana na vimachozi vyaoKama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe.
Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma kwa utopolo wake.
"Oooh nilimkamata na nanii akaanza kulia sana ikabidi nimsamehe" ukaanza kusema " Unajua nini itakuwa demu ananipenda sana"
Hapo umeumia mkuu. Kabla ya kusamehe hakikisha umejihidhirisha na ukaamua mwenyewe sio machozi yake.
Thanks me later
😂😂 Tushetani tudogo hutu..😂Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Kwani kakwambia hela Hana? Mbona umemindHehehehehe kumbe imepenyaaa tafuta hela blooo tunawalilia wenye pesa tu period sasa njoo kaa huku uone cha moto utapigwa matukio maji utaita mma tafuta ela acha kelele
MimiHivi kuna mwanaume ana kaza mwanamke akilia yaani hatoi msamaha
Hamnaga ujanja kwenye chozi la Mwanamke tena umkute mwenye sauti tamu ya kubembelezaMimi
Ukilia nakuacha hapoHamnaga ujanja kwenye chozi la Mwanamke tena umkute mwenye sauti tamu ya kubembeleza
Mimi mwisho wewe ndio utaniomba msamaha kwa kulia kwanguUkilia nakuacha hapo
Inategemeana na mwanaume yukoje. Wengine wana roho za tofauti.. si legelege kihisia. Lia uliavyo yeye huyoHamnaga ujanja kwenye chozi la Mwanamke tena umkute mwenye sauti tamu ya kubembeleza
Mimi sijawahi kuona hiyoInategemeana na mwanaume yukoje. Wengine wana roho za tofauti.. si legelege kihisia. Lia uliavyo yeye huyo
Kwa mke wa ndoa inakuwa ngumu sana jombo. Uamuzi wa kuoa uangaliwe kwa makini sana kwani baada ya hapo ukikosea hilo linakuwa lako.Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe.
Una bahatiMimi mwisho wewe ndio utaniomba msamaha kwa kulia kwangu
🤔🤔 Kwa nliowaona wengi hawawalilii hao wenye pesa mkuu, wanaliliwa wale wanaowapenda haijalishi wana pesa au hawana.Wanalia kwa sababu hawana plan b na unakuta ni tegemezi kwa mwanaume ndo mana analialia kutana na wanawake wa shoka ndo utajua hujui analiliwa mwenye pesa tu akijua hapa kuna maslahi apart from that uuh no no no not today..[emoji28]
Kwa kweli mkuu , Kwa ndoa inakuwa mtiani . Ila muhimu sana kuomba Mungu upate mke bora.Kwa mke wa ndoa inakuwa ngumu sana jombo. Uamuzi wa kuoa uangaliwe kwa makini sana kwani baada ya hapo ukikosea hilo linakuwa lako.
Watu wanarusha maweee. tuuh!!!Mmetudamkia sio!![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahaha..mturushie tu ila kulia ni self defense pia!Watu wanarusha maweee. tuuh!!!
Hukuomba mzigo mzee? Hapo unamwambia nimekusamee unakula mbususu alafu unamuacha mazima.Kuna mmoja tulikosana akanitumia voice note WhatsApp analia huku akiomba msamaha. Machozi yao wengi sio ya kweli drama tupu