Usiamini chozi la Mwanamke kamwe. Fanya maamuzi kwa akili yako

Kheeee!! Hivi kumbe kuna wanawake bado wanaliaga kutafuta attention ya kusamehewa kwa kweli kama wapo wanatakiwa wauliwe walah.. sasa hvi ni show show tutalilia baba zetu only
Kwa akili yako hiyo hutakaa uweze kuishi na mwanaume maisha yako yote. Bali utakua unapekewa moto tuu mpaka utakapo zeeka
 
Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Kuna mwenzako anaandaliwa, akikaa fresh wewe unatupwa mbali sana... hakika ya weke kichwani maneno haya
 
Wape hi hapo kidimbwi.

Mwanamke kama ww ni ndoo ya uchafu utakojolewa mpaka puani.

Tafuta hela bloo tafuta pesa acha kelele mingi wenye pesa hawapigagi kelele za hivo jaman pesa ndo huwaga inaongea...
 
Kwa akili yako hiyo hutakaa uweze kuishi na mwanaume maisha yako yote. Bali utakua unapekewa moto tuu mpaka utakapo zeeka

Kheee kwan huyu ninae ishi nae ni mwanamke bloo ni mwanaume kama wewe ila hana makelele yeye ana pesa...period[emoji1787][emoji28]
 
Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Eeeeh, watu na fani zao utawaambia nini!?
 
Hivi kuna mwanaume ana kaza mwanamke akilia yaani hatoi msamaha
Tupo, tena sio wachache. Na hatuna bifu tukimaliza ndio tumemaliza hivyo, tunakuchukulia kama mtu tunaejuna au rafiki wakawaida lakini ukurasa uleee ndio ushafungwa milele!!.
 
Hivi kuna mwanaume ana kaza mwanamke akilia yaani hatoi msamaha
Tupo, tena sio wachache. Na hatuna bifu tukimaliza ndio tumemaliza hivyo, tunakuchukulia kama mtu tunaejuana au rafiki wakawaida lakini ukurasa uleee ndio ushafungwa milele!!.
 
maamuz ya kiume
 
Hamtuwezi nyie[emoji23][emoji23].
Jana tu nimetoka kutishia kunywa sumu nikasamehewa. Na leo kila saa napigiwa simu kuhakikisha nakuwa sawa nisije nikanywa sumu.
Binafsi ningekununulia sumu unywe tu useme unataka DTT au sumu ya panya..
Sina jambo dogo abadani
 
Kwasababu chozi la mwanamke unalopaswa kuliamini nila wakati anajifungua tu, hayo mengine yote weka kaaapuni, wakati ule anakuwa anamaanisha kweli.
 
Asante studio...
Dj shikilia kidogo...

Hili jambo lina msingi sana... Msimamo ni kitu cha muhimu sana kwa mwanaume..
 
"Usimwamini mbwa anaechechemea au mwanamke anaelia" Steven Kanumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…