Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

Hata kama kauza nyumba kisha kanunua.

Ni yeye na gari ndo hilo tunaliona.

Kusagiana kunguni hainaga faida
 
Yani Madilu amhonge Zamaradi? Kwa lipi alilonalo. Mbona hata common sense inakataa
Hata mimi Nimekuwa suprised sioni maajabu yoyote kwa iyo bidada tena yupo Married na Kila siku Drama na Lijamaa yake sasa kwanini umpe ata IST, Jamaa anachafua watu tu
 
Huwezi kuona matangazo ya kimasikini hivyo mwezi mzima mnazungumzia gari
Hayo ni maisha yake binafsi we unachoumia ni nin, au ulishakuja kukulia shida kila mtu ana uhuru wa kufanya apendalo ilimradi hajavunja sheria

Kaamua kuwekeza kwenye matangazo ya kimaskini, anatumia hela yake kwanin uteseke
 
Copy and paste from mange app
 
Hayo ni maisha yake binafsi we unachoumia ni nin, au ulishakuja kukulia shida kila mtu ana uhuru wa kufanya apendalo ilimradi hajavunja sheria

Kaamua kuwekeza kwenye matangazo ya kimaskini, anatumia hela yake kwanin uteseke
Wewe ndio unateseka na ninacho andika humu basi tufanye yameisha bi zamaradi
 
Wewe umesema ukweli. Yule mshikaji toka kitambo anajulikana alikua HOUSE BOY wa Mshua mmoja pale Osterbay, ile kupewa pewa V8 kwenda kuosha osha ndio akamnasa ZAMARADI
 
Umeongea ukweli ndo maisha aliyochagua mim sio kwanin watu wengine wanateseka
Ni hatters tu.

Unakuta yeye anayo nafasi kupambana kufikia level ile lakini anautumia muda wake kumchunguza mtu aliyefanikiwa na kumbeza
 
aisee..haahahaaa...
haya bana..ahsante kwa taarifa
 
hivi huyu ndo alimpotigi mme wake kwenye bango !??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…