Usiamini unamjua mtu kupitia mtandaoni kama haujawahi kukutana naye uso kwa uso

Usiamini unamjua mtu kupitia mtandaoni kama haujawahi kukutana naye uso kwa uso

Kama bado unaamini watu WA mitandaoni kuna namna unahitaji elimu bado ufahamu wako umefungamanishwa.
 
Hajui tuu. Nilishawahi kudatishwa na muandiko wa member huku halafu hatukuwahi hata kuwasiliana zaidi ya PM hivyo hadi leo sifahamu anafananaje ila muandiko wake ulikua unanifanya napata butterflies tumboni nikisoma [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka balaa,
 
Nakumbuka kuna grp moja la whatsapp huku na huku kuna Kidada kikaanza kuniletea dharau sana.. mie nikamwambia tu kuna siku isiyo na jina tutakutana..

Akacheeka sana na maneno ya shombo.. basi ikaisha hivyo.

Yule Mtu, nafkiri mpk anazama chini ya hii ardhi hatokuja kudharau hata kichaa aliye jalalani.

nifupishe tu story kwa kumaliza hivi.

Usimdharau mtu usiyemjua/Mfahamu.
Hata kama unamjua/kumfahamu usimdharau pia. Utakuja kushangaa na kujiona fala sana.
Nini kilitokea mkuu
 
Sema tuache utani hata kama kaiba picha aisee akinipm tu nauli natuma 😁aje asije haiwahusu
 
Back
Top Bottom