Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

Kila lenye mwanzo halikosi tamati mkuu
Mkuu ili uwe salama mbele za Mungu, toa bure mali na kila kitu ulichokipata kupitia shirki ndio uanze upya kujikusanyia mali kupitia nguvu za Mungu. ulichokifanya ni sawa na mtu kupata mali kwa njia zisizo halali alafu anaenda kuzibariki kwa Mungu
 
Maneno ya Mungu mwenyezi Baba yanasema hivi tazama ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya
 
Ndugu mambo yamegoma kama ulivyo eleza kuwa kuna nyakati huwa hivyo kiasili. Hali sio njema kabisa je nifanyeje ili nipate unafuu?.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Uganga ama uchawi haupo, ni watu wenye akili fupi tu wanaweza kuamini kitu kinaitwa uganga, uchawi, ulozi ama ushirikina, ni watu wenye akili ndogo tu wanaamini hayo mambo.
Ukitaka kuamini kaishi maili2 halafu kajitape au kutamba baada ya masaa tu hutakuwa na uwezo hata wa kutupa mrejesho mkuu
 
kaka mshana nahitaji msaada wako, sijui ni vipi naweza kuwasiliana na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…