Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Utapata mwanamme mwingine mkuu usijali, ila ukishaachwa tena utuletee uzoefu mwingine.
 
Ila @demis leo umeniangusha sana kwa huu uzi wako, nimekata tamaa na wewe japo nilikua nataka nije kuleta posa.
 
Namba tatu mpaka nimecheka kwa sauti jamani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Demiss katika ubora wako
 
Umenikumbusha kipindi hicho chuo kuna dada alikuwa hapendi wanaume wanaosomea ualimu na anaongea maneno mengi ya kashfa kuwahusu..bahati mbaya ama nzuri alikuja pewa mimba na jamaa anayesomea ualimu
Akampeleka wapi sasa na chalk zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhan kama Kaka yetu Alkaeli hiki kikombe kitamuepuka, nikirejea pointi namba tatu mathalani kipengele cha macho makubwa.!
 
Pharmacist sijawaona hapo ,wazee wa kijiover dose
 
Ukikutana na mwanaume mwenye kila sifa unayoitaka KIMBIA, hapo si mahali salama kwako
 
Maisha haya mkuu acha tu..mwisho wa cku tulimaliza chuo mdada akiwa na katoto kachanga,nasikia jamaa lilikuja mtelekeza
Duu masikini weee mambo haya ya kusema sema hovyo wakati bado hujaoa wala kuolewa, kuna mkaka alikuwa anasema hawezi oa police wala nurse lakini ninavyo ongea kaoa nurse na wana mtoto 1, nikamkumbusha vipi nurse kaishia kucheka cheka tu ohoo maisha haya acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…