Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Kwann nisiende mbinguni
Nilipoona oparesheni ya hekaheka vijiweni, nilikaza macho sana nione kama nawe umenaswa na Muroto ukifanya majaribio yako kwa me mbalimbali
 
pia wanawake msidate na kina karumanzila.. maana wao watawawekea zindiko kwenye vimbufta vyenu.. tushindwe kuvila..
 
Duu masikini weee mambo haya ya kusema sema hovyo wakati bado hujao wala kuolewa, kuna mkaka alikuwa anasema hawezi oa police wala nurse lakini ninavyo ongea kaoa nurse na wana mtoto 1, nikamkumbusha vipi nurse kaishia kucheka cheka tu ohoo maisha haya acha tu
Kweli kabisa alafu msichana mwenyewe alikuwa bonge la sista duu but mwisho wa cku ndo akazalishwa na mtu ambae alikuwa anadai sio kundi la level zake
 
Wakati mwingine ni vyema ku declare interest kuwa wewe binafsi una bahati mbaya kama sio mkosi au laana ya kudate na baadhi ya hao wanaume wenye career hizo! Usi generalise. Wapo wenzako ambao wameolewa na hao hao wanaume na wanafurahia Ndoa zao mpaka unaweza kuwaonea wivu
 
Kuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi.

1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE
-Matapeli Wa mapenzi
-Waongoo
-Wabahili
-Wana madeni balaa
-Wanapenda kuikopa serikali balaa
-Wanapenda maisha mazuri alafu mshahara wenyewe kiduchu
-Hawakubali kusema wanaishi kota wanachagua maeneo ya matajiri mfano Hapa Dodoma anakaa Isanga atakwambia anakaa uzunguni[emoji57][emoji57][emoji57]

2.WALIMU WA KIUME
-Wana ahadi za uongo
-Wabahili kama nini?
-Wana ndoto za maishaa mazuri hawatimizi ndoto zaoo mxewww
-Wanapenda sifaa

3.WANAUME WENYE UPARA NA MACHO MAKUBWA
-Ukitaka kufanya diet bila shida na kupungua uzito wewe mwanamke date na hizi kunguni kooooh utakonda na kupungua kula
-wanapenda kuhongwaa hawa [emoji57][emoji57][emoji57]
-Wanaringaaa mxewww zaoo
-Wengi viben10
-Wanapenda kufanya kazi Bank

Mama kalumanzila.
Wote hao ulishapita nao ukayapata hayo,
Pole
 
asante kwa ushiriki ulijuaje
 
4.WAPIGA RAMLI NA WAGANGA

-Hawa wana gubu balaa

-Kunako 6x6 uwa wanapaka vumbi la akina Kofi Olomide na Viagra juu ugegedaji wao utadhani wanaikomoa K vile

-Ni wambea na wachoganishi balaaa

-Wanapenda kufuatilia mambo ya majiran na kwenda kuyatangaza huko JamiiForums

-Mkewe akigegedwa tu na mtu wanatishia kumtupia jini aliyemgegeda mke wake

mfano mzuri ni Mshana Jr
 
Nachojua hearly ana macho makubwa halafu ni mwalimu wa sekondari jangwani!.. Lakini vitoto vya UDSM pale anavidanganya yupo lile jengo la blue ukipita mawasiliano!.. Mengine aje sema mwenyewe tu!.

Mjumbe hauwawi!.
 
Back
Top Bottom