Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Nachojua hearly ana macho makubwa halafu ni mwalimu wa sekondari jangwani!.. Lakini vitoto vya UDSM pale anavidanganya yupo lile jengo la blue ukipita mawasiliano!.. Mengine aje sema mwenyewe tu!.

Mjumbe hauwawi!.
kwahiyo katibu ndio umeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi "... ? umeamua kuuza ramani yangu ya vita kabisa yaani .. Mbona mimi siku mwambia dada yangu kuwa wewe ni muongo " pindi ulipo mdanganya kuwa Jiwe ni baba yako mkubwa
 
Kweli kabisa alafu msichana mwenyewe alikuwa bonge la sista duu but mwisho wa cku ndo akazalishwa na mtu ambae alikuwa anadai sio kundi la level zake
Bora ukae nalo moyoni kuliko kulitoa na Mungu naye asivyo na hiyana anakurushia huyo huyo
 
kwahiyo katibu ndio umeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi "... ? umeamua kuuza ramani yangu ya vita kabisa yaani .. Mbona mimi siku mwambia dada yangu kuwa wewe ni muongo " pindi ulipo mdanganya kuwa Jiwe ni baba yako mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie napita tu
 
Kuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi.

1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE
-Matapeli Wa mapenzi
-Waongoo
-Wabahili
-Wana madeni balaa
-Wanapenda kuikopa serikali balaa
-Wanapenda maisha mazuri alafu mshahara wenyewe kiduchu
-Hawakubali kusema wanaishi kota wanachagua maeneo ya matajiri mfano Hapa Dodoma anakaa Isanga atakwambia anakaa uzunguni[emoji57][emoji57][emoji57]

2.WALIMU WA KIUME
-Wana ahadi za uongo
-Wabahili kama nini?
-Wana ndoto za maishaa mazuri hawatimizi ndoto zaoo mxewww
-Wanapenda sifaa

3.WANAUME WENYE UPARA NA MACHO MAKUBWA
-Ukitaka kufanya diet bila shida na kupungua uzito wewe mwanamke date na hizi kunguni kooooh utakonda na kupungua kula
-wanapenda kuhongwaa hawa [emoji57][emoji57][emoji57]
-Wanaringaaa mxewww zaoo
-Wengi viben10
-Wanapenda kufanya kazi Bank

Mama kalumanzila.

Mbona hujatutaja na sie wa JF? Naamini una uzoefu mkubwa na sisi.
 
kwahiyo katibu ndio umeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi "... ? umeamua kuuza ramani yangu ya vita kabisa yaani .. Mbona mimi siku mwambia dada yangu kuwa wewe ni muongo " pindi ulipo mdanganya kuwa Jiwe ni baba yako mkubwa
😳 basi yaishe!.. ulimi ulizidi domo 😀😀
 
Kuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi.

1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE
-Matapeli Wa mapenzi
-Waongoo
-Wabahili
-Wana madeni balaa
-Wanapenda kuikopa serikali balaa
-Wanapenda maisha mazuri alafu mshahara wenyewe kiduchu
-Hawakubali kusema wanaishi kota wanachagua maeneo ya matajiri mfano Hapa Dodoma anakaa Isanga atakwambia anakaa uzunguni[emoji57][emoji57][emoji57]

2.WALIMU WA KIUME
-Wana ahadi za uongo
-Wabahili kama nini?
-Wana ndoto za maishaa mazuri hawatimizi ndoto zaoo mxewww
-Wanapenda sifaa

3.WANAUME WENYE UPARA NA MACHO MAKUBWA
-Ukitaka kufanya diet bila shida na kupungua uzito wewe mwanamke date na hizi kunguni kooooh utakonda na kupungua kula
-wanapenda kuhongwaa hawa [emoji57][emoji57][emoji57]
-Wanaringaaa mxewww zaoo
-Wengi viben10
-Wanapenda kufanya kazi Bank

Mama kalumanzila.
Daaaaah hyo namba 3[emoji38] [emoji38] [emoji38] upara na macho makubwa. Mungu anakuona aisee
 
mtoa maada knows nothing about men

wanaume tulowengi tunaangali kubonda chini hivo hizo tabia zingine zinakuja kuhakikisha lengo linatimia

siwez date na mtoa mada since juzijuzi kawekewa uzi wa kukesha humu jf....na alipewa option kama 8 aseme ip kat ya hizo inamfanya kukesha humu

mtoa mada huu uzi unaonesha the way ana stress sijui ile thread imemuwehusha

inaonesha bikra yake alimzawadia kat yao hao ndo mana anajua tabia zao
 
Back
Top Bottom