Haya, umpe salamu zangu.Ayaa......!
Kathubutu kukutwa!!
Tukionana nampa pole.
Nilipoona oparesheni ya hekaheka vijiweni, nilikaza macho sana nione kama nawe umenaswa na Muroto ukifanya majaribio yako kwa me mbalimbaliKwann nisiende mbinguni
Kwani we una macho makubwa?Hahaha daaa wenye upara na macho makubwa tukae pembeni
Haya, umpe salamu zangu.
Ila naomba usimfanye nyama ya hamu
Pharmacist sijawaona hapo ,wazee wa kijiover dose
Ha ha! Salaam zitafika!
Natambua sina ruksa hiyo!
Tutaenda pamoja na wewe.
Kweli kabisa alafu msichana mwenyewe alikuwa bonge la sista duu but mwisho wa cku ndo akazalishwa na mtu ambae alikuwa anadai sio kundi la level zakeDuu masikini weee mambo haya ya kusema sema hovyo wakati bado hujao wala kuolewa, kuna mkaka alikuwa anasema hawezi oa police wala nurse lakini ninavyo ongea kaoa nurse na wana mtoto 1, nikamkumbusha vipi nurse kaishia kucheka cheka tu ohoo maisha haya acha tu
Kweli tena nakuambiaWeee kakudanganya nani
Wote hao ulishapita nao ukayapata hayo,Kuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi.
1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE
-Matapeli Wa mapenzi
-Waongoo
-Wabahili
-Wana madeni balaa
-Wanapenda kuikopa serikali balaa
-Wanapenda maisha mazuri alafu mshahara wenyewe kiduchu
-Hawakubali kusema wanaishi kota wanachagua maeneo ya matajiri mfano Hapa Dodoma anakaa Isanga atakwambia anakaa uzunguni[emoji57][emoji57][emoji57]
2.WALIMU WA KIUME
-Wana ahadi za uongo
-Wabahili kama nini?
-Wana ndoto za maishaa mazuri hawatimizi ndoto zaoo mxewww
-Wanapenda sifaa
3.WANAUME WENYE UPARA NA MACHO MAKUBWA
-Ukitaka kufanya diet bila shida na kupungua uzito wewe mwanamke date na hizi kunguni kooooh utakonda na kupungua kula
-wanapenda kuhongwaa hawa [emoji57][emoji57][emoji57]
-Wanaringaaa mxewww zaoo
-Wengi viben10
-Wanapenda kufanya kazi Bank
Mama kalumanzila.
asante kwa ushiriki ulijuajeKuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi.
1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE
-Matapeli Wa mapenzi
-Waongoo
-Wabahili
-Wana madeni balaa
-Wanapenda kuikopa serikali balaa
-Wanapenda maisha mazuri alafu mshahara wenyewe kiduchu
-Hawakubali kusema wanaishi kota wanachagua maeneo ya matajiri mfano Hapa Dodoma anakaa Isanga atakwambia anakaa uzunguni[emoji57][emoji57][emoji57]
2.WALIMU WA KIUME
-Wana ahadi za uongo
-Wabahili kama nini?
-Wana ndoto za maishaa mazuri hawatimizi ndoto zaoo mxewww
-Wanapenda sifaa
3.WANAUME WENYE UPARA NA MACHO MAKUBWA
-Ukitaka kufanya diet bila shida na kupungua uzito wewe mwanamke date na hizi kunguni kooooh utakonda na kupungua kula
-wanapenda kuhongwaa hawa [emoji57][emoji57][emoji57]
-Wanaringaaa mxewww zaoo
-Wengi viben10
-Wanapenda kufanya kazi Bank
Mama kalumanzila.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Nimewahi seat. Ngoja waje hao uliowataja. Hakika hutokwenda mbinguni
Demiss kakataaKwani we una macho makubwa?