kwahiyo katibu ndio umeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi "... ? umeamua kuuza ramani yangu ya vita kabisa yaani .. Mbona mimi siku mwambia dada yangu kuwa wewe ni muongo " pindi ulipo mdanganya kuwa Jiwe ni baba yako mkubwaNachojua hearly ana macho makubwa halafu ni mwalimu wa sekondari jangwani!.. Lakini vitoto vya UDSM pale anavidanganya yupo lile jengo la blue ukipita mawasiliano!.. Mengine aje sema mwenyewe tu!.
Mjumbe hauwawi!.
Bora ukae nalo moyoni kuliko kulitoa na Mungu naye asivyo na hiyana anakurushia huyo huyoKweli kabisa alafu msichana mwenyewe alikuwa bonge la sista duu but mwisho wa cku ndo akazalishwa na mtu ambae alikuwa anadai sio kundi la level zake
Hamna mkuu kuna mwingine ni kimbaumbau lakini akiolewa anakuwa bonge inamaana zile tabia nazo zinabadilika?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli tena nakuambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie napita tukwahiyo katibu ndio umeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi "... ? umeamua kuuza ramani yangu ya vita kabisa yaani .. Mbona mimi siku mwambia dada yangu kuwa wewe ni muongo " pindi ulipo mdanganya kuwa Jiwe ni baba yako mkubwa
Kuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi.
1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE
-Matapeli Wa mapenzi
-Waongoo
-Wabahili
-Wana madeni balaa
-Wanapenda kuikopa serikali balaa
-Wanapenda maisha mazuri alafu mshahara wenyewe kiduchu
-Hawakubali kusema wanaishi kota wanachagua maeneo ya matajiri mfano Hapa Dodoma anakaa Isanga atakwambia anakaa uzunguni[emoji57][emoji57][emoji57]
2.WALIMU WA KIUME
-Wana ahadi za uongo
-Wabahili kama nini?
-Wana ndoto za maishaa mazuri hawatimizi ndoto zaoo mxewww
-Wanapenda sifaa
3.WANAUME WENYE UPARA NA MACHO MAKUBWA
-Ukitaka kufanya diet bila shida na kupungua uzito wewe mwanamke date na hizi kunguni kooooh utakonda na kupungua kula
-wanapenda kuhongwaa hawa [emoji57][emoji57][emoji57]
-Wanaringaaa mxewww zaoo
-Wengi viben10
-Wanapenda kufanya kazi Bank
Mama kalumanzila.
kuwa makini usijikwae tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie napita tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante sana nitakuwa makini sanakuwa makini usijikwae tu
haya karibu chai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante sana nitakuwa makini sana
Asante na hili joto balaa, ukikaa nje ni kupiga umbea tu hakuna cha maanahaya karibu chai
kabisaa unaanza kuwa teta wapita NjiaAsante na hili joto balaa, ukikaa nje ni kupiga umbea tu hakuna cha maana
Ndiyo maana yake kila anayepita lazima uulize yule nani katoka nyumba ipikabisaa unaanza kuwa teta wapita Njia
π³ basi yaishe!.. ulimi ulizidi domo ππkwahiyo katibu ndio umeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi "... ? umeamua kuuza ramani yangu ya vita kabisa yaani .. Mbona mimi siku mwambia dada yangu kuwa wewe ni muongo " pindi ulipo mdanganya kuwa Jiwe ni baba yako mkubwa
hahaa tulia hivyo hivyo ... kabla sijaenda kumwaga mchele kwa dadaπ³ basi yaishe!.. ulimi ulizidi domo ππ
ana sura chachu kama vile katafuna mbegu ya limao... miguu yake kama vile ana kimbia mchaka mchakaNdiyo maana yake kila anayepita lazima uulize yule nani katoka nyumba ipi
Daaaaah hyo namba 3[emoji38] [emoji38] [emoji38] upara na macho makubwa. Mungu anakuona aiseeKuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi.
1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE
-Matapeli Wa mapenzi
-Waongoo
-Wabahili
-Wana madeni balaa
-Wanapenda kuikopa serikali balaa
-Wanapenda maisha mazuri alafu mshahara wenyewe kiduchu
-Hawakubali kusema wanaishi kota wanachagua maeneo ya matajiri mfano Hapa Dodoma anakaa Isanga atakwambia anakaa uzunguni[emoji57][emoji57][emoji57]
2.WALIMU WA KIUME
-Wana ahadi za uongo
-Wabahili kama nini?
-Wana ndoto za maishaa mazuri hawatimizi ndoto zaoo mxewww
-Wanapenda sifaa
3.WANAUME WENYE UPARA NA MACHO MAKUBWA
-Ukitaka kufanya diet bila shida na kupungua uzito wewe mwanamke date na hizi kunguni kooooh utakonda na kupungua kula
-wanapenda kuhongwaa hawa [emoji57][emoji57][emoji57]
-Wanaringaaa mxewww zaoo
-Wengi viben10
-Wanapenda kufanya kazi Bank
Mama kalumanzila.
Ukimwaga mboga nahamisha jiko kabisa!hahaa tulia hivyo hivyo ... kabla sijaenda kumwaga mchele kwa dada
hahaa halafu una limwagia majiUkimwaga mboga nahamisha jiko kabisa!