Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Mama wa makao makuu naona leo umekuja na povu kama la muroto,dom idodomya....
Mpaka isanga umepajua kweli uko vizuri.
 
ana sura chachu kama vile katafuna mbegu ya limao... miguu yake kama vile ana kimbia mchaka mchaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hujakosea kasuka nywele wala hazijampendeza,
halafu yeye na mmewe wala hawaendani sio type yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hujakosea kasuka nywele wala hazijampendeza,
halafu yeye na mmewe wala hawaendani sio type yake
hahaha wanawake mnakazi kweli kweli
 
Mimi mwenyewe naishia kuisikia kwenye media tu..hahaa
Kwa mara 1 nilikatiza sehemu nikasikia harufu nikauliza nini hiyo wakanicheka eti hujui hiyo kitu mie alaa kumbe!
 
Kwa mara 1 nilikatiza sehemu nikasikia harufu nikauliza nini hiyo wakanicheka eti hujui hiyo kitu mie alaa kumbe!
hahaha mimi naijua but to be honest ladha yake siitambui. na sio hiyo tu binafsi siijui ladha ya kilevi chochote kile
 
hahaha mimi naijua but to be honest ladha yake siitambui. na sio hiyo tu binafsi siijui ladha ya kilevi chochote kile
Hongera na ni vizuri kwahiyo wewe hapo ukitoka ni mwendo wa vyuku na nyama choma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…