Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora walimu Askari magereza putuuuUmenikumbusha kipindi hicho chuo kuna dada alikuwa hapendi wanaume wanaosomea ualimu na anaongea maneno mengi ya kashfa kuwahusu..bahati mbaya ama nzuri alikuja pewa mimba na jamaa anayesomea ualimu
Basiii shemela...ngoja nisome comments[emoji23]Mxeeew nakujua vizur hayo macho veeep
Hahaaaah usiwafanyie hivyo askari magereza,but nikuulize swali...kwani ushawahi wajaribu hao wote???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora walimu Askari magereza putuuu
Binaaa
Upara wa kunyoa..na ndevu siku hizi nachonga 0,sasa sijui hapo unatuweka kundi gani[emoji23] [emoji23]Hahahah wewe umekamilika kila idara hiyo ya upara veeep
Ukiona mwanaume hana mapungufu usikubali akuoe tafadhali...!!!
Hakuna mwanaume mkamilifu...!!!ukimpata mkamilifu mkimbie mita100!!!!
Kama una mdogo wako nipatie tafadhali 🤕Ukiona mwanaume hana mapungufu usikubali akuoe tafadhali...!!!
Hakuna mwanaume mkamilifu...!!!ukimpata mkamilifu mkimbie mita100!!!!
Na streamika youtube live kabisa.Upo live TBC au