Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Umenikumbusha kipindi hicho chuo kuna dada alikuwa hapendi wanaume wanaosomea ualimu na anaongea maneno mengi ya kashfa kuwahusu..bahati mbaya ama nzuri alikuja pewa mimba na jamaa anayesomea ualimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora walimu Askari magereza putuuu
 
Namba mbili umepatia kabisaaaa. Nami naongezea WANA TABIA ZA KIKE YAANI NI WAMBEA HATARI
 
Back
Top Bottom