Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
Nina raha isiyokuwa na kifani, tahafifu ya ugumu wa maisha na nafasi ya kufanya chochote kwani nimejaaliwa makalio.

Kila napopita vishingo vya jinsia nyingine hupinda, macho yanawatoka na mate yanawadondoka. Wengine hujikwaa na kuanguka, wapo wanapiga miruzi na kelele kama wendawazimu.

Nasindikizwa kwa macho kama malkia mpk natokomea.

Kwa mdada, bora unyimwe akili upewe makalio. Makalio ni zaidi ya PhD na ni zaidi ya mtaji.

Usiku mwema.
 
Umesahau pricetag
 
Umejua lini kama una chura[emoji851][emoji851]

Tuminishe kwa [emoji991][emoji328]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…