Hao ni abiria, mazingira yenye nyumba ya namna ile, japo haijakamilika, hayawezi kosa choo.
Kanikumbusha jamaa mmoja tulisoma nae Kibaha Sec alikuwa akikojoa anaangalia juu kama huyo mshikaji ha ha ha
Huyo jamaa hapo kati anakojoa huku akiangalia juu ndio kuvuta hisia za kojo au?
Hao ni abiria, mazingira yenye nyumba ya namna ile, japo haijakamilika, hayawezi kosa choo.
Hii tabia ya mtu anakojoa alafu mwengine anamchungulia ivi anataka aone mkono wake au anampimia mashine yake ipoje.