Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
Huwa nashangaa sana hata ukisafiri ktk vile vyoo tukiwa safari vya kuchimbia dawa vya kusimama yaan kuna watu wengine ukichomoa tu ktk boxer ukojoe anaanza kuucheki kinoma alafu anakuangalia usoni ndio najiuliza haamini anachokiona au haamini kwamba anaouona sio mguu wa mtoto ..Hiyo tabia sio nzuri kwa wanaume ukiingia kukojoa na wenzako tujitahidi kupotezea kuspy wenzako
 
Hawajasoma boarding hao

Haha eti hawaamini wanachookiona
Sent using Unknown device
 
Wangechimba Dawa hata porini kidogo naona kama hapo makazi ya watu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…