Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
Wengi wenye hayo mavyoo kichwani nati zimelegea
Maneno ya mitaani. Umekutana na fyatu mmoja basi ukajeneralaizi wote. Sayansi inakataa. Wanawake wenye misambwanda siyo tu kwamba wana akili kuliko vimbaumbau bali pia huzaa watoto wenye akili zaidi...


Jiridhishe zaidi hapa [emoji116][emoji116][emoji116]


 
Mbona simuoni aliyezikagua simba na yanga?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…