Aise kufanya kazi kwa juhudi kwahitaji MOTISHA, na hapo ipo, kwanini njemba isitumie nguvu za asili??!!
Hadi mwenzake anamuonea WIVU!
Hadi mwenzake anamuonea WIVU!
Choo makinikia.
Hii ni michezo miwili inayofanana [emoji23][emoji23][emoji23]
forumyangu naomba unipatie full detail za hii pisi niwe naisoma taratibu taratibu.
Wanasema raha ya kobe ni kule kutembea na nyumba yake [emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji39][emoji39][emoji39]