Usidanganyike kuwa Mahusiano ni "kusikilizana" utaachwa. Ukweli ni lazima mmoja amsikilize mwenzake ndio mtadumu

Usidanganyike kuwa Mahusiano ni "kusikilizana" utaachwa. Ukweli ni lazima mmoja amsikilize mwenzake ndio mtadumu

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Siongezi neno wala kupunguza.

Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana. Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni yale mmoja lazima amsikilize mwingine.

Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia)

Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo kuwepo na mwendo.

Ndivyo ilivyo kwenye mahusiano hasa ukileta harakati kwenye mapenzi hutoboi.

"HIVYO NDIVYO YANASEMA MAHUSIANO"
 
Kila mmoja akogoma kumsikiliza mwenzake hapo duniani kutakuwa na chaos tu.

Kusikilizana na kuelewana ni muhimu. Hayo mambo ya mmoja kusikilizwa yeye tu ni udikteta.
Mahusiano ndo yanavyotaka! Hata kama mtaongea wote lakini lazima awepo mmoja wa kuamua hivi!
 
Mwanaume ndio asikilizwe huezi ongozwa na mwanmke katka ndoa mtaishia kuachana
 
Mwanaume ndiye husikilizwa, na ndiye mwenye final say.
 
Inategemea, mahusiano hayako sawa
Kuna uhusiano mwanamke ndio final say, kuna uhusiano mwanaume ndio final say, kuna uhusiano kama wa kambale, kila mtu ni msemaji....na mahusiano yooote hayo yakawa okay.

Inategemea....
 
Hiyo ya kambare ni mziki
 
Siongezi neno wala kupunguza.

Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana. Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni yale mmoja lazima amsikilize mwingine.

Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia)

Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo kuwepo na mwendo.

Ndivyo ilivyo kwenye mahusiano hasa ukileta harakati kwenye mapenzi hutoboi.

"HIVYO NDIVYO YANASEMA MAHUSIANO"
Ni kweli hata jamaa angesikiliza mushauri hata asingededi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala!!! yani utakuta wanaoishi kama kambale nao wako poa tu na uhusiano wao, ila ukijaribu kuwaiga tu yako yanafia hapo hapo...
Mmh thubutu ukiona hivo mmoja anajitutumua lakini anafuata maagizo kimyakimya
 
Back
Top Bottom