Mahusiano ndo yanavyotaka! Hata kama mtaongea wote lakini lazima awepo mmoja wa kuamua hivi!Kila mmoja akogoma kumsikiliza mwenzake hapo duniani kutakuwa na chaos tu.
Kusikilizana na kuelewana ni muhimu. Hayo mambo ya mmoja kusikilizwa yeye tu ni udikteta.
Interaction yoyote kati ya binadamu na binadamu bila consensus ni chaos tu usitegemee kingine.Mahusiano ndo yanavyotaka! Hata kama mtaongea wote lakini lazima awepo mmoja wa kuamua hivi!
Sasa maamuzi yenu kukubaliana asikilizwe mwanamke au mwanaume! Lakini lazima mmoja awe final saywazi mkuu
Hiyo ya kambare ni mzikiInategemea, mahusiano hayako sawa
Kuna uhusiano mwanamke ndio final say, kuna uhusiano mwanaume ndio final say, kuna uhusiano kama wa kambale, kila mtu ni msemaji....na mahusiano yooote hayo yakawa okay.
Inategemea....
Wala!!! yani utakuta wanaoishi kama kambale nao wako poa tu na uhusiano wao, ila ukijaribu kuwaiga tu yako yanafia hapo hapo...Hiyo ya kambare ni mziki
Hujambo swaiba, za siku....Ukiendekeza demokrasia kwenye mahusiano utapata tabu sana
Ni kweli hata jamaa angesikiliza mushauri hata asingedediSiongezi neno wala kupunguza.
Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana. Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni yale mmoja lazima amsikilize mwingine.
Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia)
Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo kuwepo na mwendo.
Ndivyo ilivyo kwenye mahusiano hasa ukileta harakati kwenye mapenzi hutoboi.
"HIVYO NDIVYO YANASEMA MAHUSIANO"
Sijambo swahiba habar za wewe?Hujambo swaiba, za siku....
Mmh thubutu ukiona hivo mmoja anajitutumua lakini anafuata maagizo kimyakimyaWala!!! yani utakuta wanaoishi kama kambale nao wako poa tu na uhusiano wao, ila ukijaribu kuwaiga tu yako yanafia hapo hapo...