Usidanganyike kuwa Mahusiano ni kusikilizana utaachwa, Ukweli ni lazima Mmoja amsikilize mwenzake ndo mtadumu!

Usidanganyike kuwa Mahusiano ni kusikilizana utaachwa, Ukweli ni lazima Mmoja amsikilize mwenzake ndo mtadumu!

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Siongezi neno wala kupunguza!

Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana! Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni Yale mmoja lazima amsikilize mwingine! Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia)

Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo kuwepo na mwendo! Ndivyo ilivyo kwenye mahusiano hasa ukileta harakati kwenye mapenzi hutoboi!

"HIVYO NDIVYO YALIVYOSEMA MAHUSIANO YALIPOULIZWA"

1620126428036.png
 
Je kama hayahusiani na kitu chochote iyo balance equation inakaaje hapo.
 
Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni Yale mmoja lazima amsikilize mwingine!
Sasa si ndio kusikilizana huko. Yani mmoja akiongea jambo mwenzake anamsikiliza.
 
Back
Top Bottom