Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi
1. Ushetani ni nini kwanza?

2.Imani zakishetani ni zipi? Na nini kinakupa uhalali wakujua imani hii ni halali na hii ni ushetani

Nimehudhuria nimeona.
Umehudhuri imani ipi? Maana najua hakuna imani inayokataza tendo hilo

lakini pia ndani ya ibada za kishetani,
Nini kinakufanya uhalalishe imani moja na kubatilisha imani nyingine?
 
Back
Top Bottom