Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Be aware of your feelings (emotions, thought and sensations).Let them flow without identification with them.
Natamani sana kila mtu afahamu meditation inavyo fanya kazi,.nitakuja na uzi hapa siku moja,namna nilivyo struggle with Anxiety na Depression for almost a year,nlitumia antidepressants za kutosha until one day nlipo amua kujifunza meditation..kuna mwalimu mmoja wa kizungu anaitwa Rupert Spira..ni bonge la ticha..alinifungua mengi mnoo..nipo tayr kumsaidia yeyote bure mwenye uhitaj wa kujifunza na pia wale wanao struggle na chronic depression, anxiety au any kind of Phobia.
 
Tupe intro japo kidogo.
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol

Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa.

Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi. Tahajudi inatumiwa na:

Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)

Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)

Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa

Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi.

Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana. Nimehudhuria nimeona.

Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya.

Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo. Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg
Umenena. Sex ni too spiritual kuluko physical..
 
Adam hakuwahi kuanguka kwenye ngono.

Lile tunda la mti wa katikati halimaanishi tendo la ndoa au kujamiiana. Ni upotoshaji ulitungwa ili kupoteza maana halisi ya fumbo.

Tunda la mti wa katikati ni fumbo la maarifa lenye uzima na mauti.

Yawezekana ni kweli ni tunda halisi lakini ndani yake kuna fumbo lenye nguvu za asili zenye kuonyesha uzima na umauti.

Mungu alisema,matunda ya miti yote mnaweza kula isipokuwa ya mti wa katikati..ulikuwa unatamanisha .

Mungu anasema nendeni mkazalieni muijaze dunia na kuitiisha. Hapa watazaliana vipi pasipo kufanya tendo la ndoa?

Siyo hivyo tu, kuna kitabu ndani ya Biblia kama siyo Ufunuo wa Yohana kinazungumzia mwisho wa dunia baada ya kurudi kwa Yesu siku ya mwisho ya hukumu, wale wote watakaokuwa wameandikwa kwenye kitabu cha Uzima kabla hawajaingia mbinguni au peponi wote watakula tunda la mti wa uzima lile alilofichwa Adam na Hawa.

Lengo la kula tunda ili watu wote wapate ujuzi wa mema na maarifa wapate nguvu ya kuishinda dhambi na mauti maana mbinguni hakutakuwa na kutenda dhambi.

Sasa swali langu mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa wote tutakuwa jinsia moja, ina maana hapa tutafanya tena ngono au vipi.

Hitimisho: Adam na Hawa hawakufanya ngono someni vizuri Biblia na Roho Mtakatifu awasaidie kuyaelewa maandiko mnaweza kujikuta mnapotosha wengi kwasababu ya kutokuyaelewa maandiko na kujiletea tanzi kwenye maisha yenu.

Ahsanteni sana.
 
[emoji848][emoji2827]
 
Kwa nini basi baada ya kula tunda la kati la mti wa ujuzi wa mema na mabaya Adam na mkewe hawa wakajiona wako 'uchi' na kutafuta majani ya miti na kujisitiri? Kwanini hawakuficha sehemu nyingine zote za mwili?
Kwa nini ngono inaitwa dhambi ya asili?
Kwa nini tendo la kuzaa nje ya ndoa ndio dhambi inayotambulika kiimani inayofanya mtu atengwe?
 
mathayo 5:28"Kila amtazamaye mwanamke kwa kumtamani,amekwisha Zini naye moyoni mwake"...... scriptures [emoji2786]
 
Biblia huwezi Elewa na wewe pia hivyo hivyo, haya uliyo andika hapa ni maoni na mtazamo wako tu unavyo dhani wewe, Biblia kila mtu anajinsi anavyo ielewa usihalalishe mawazo yako kuwa mawazo ya jamii nzima...hakuna anaye weza elezea biblia kwa usahihi kabisa kila mtu hutoa anacho waza yeye akilini mwake.....
 
Hata Mimi huwa nashangaa wanaolazimisha tunda kuwa tendo la kujamiiana nawakati Mungu aliwapa Adam na Hawa bustani ya Edeni yenye matunda Sasa hayo matunda mengine kwanini yasiwe uchi au miuchi mingi kwenye mwili wa mtu alafu uchi mmoja ndo uwe tunda la uzima? Tunda la uzima lipo limefichwa tayari, na matunda mengine pia yapo na yananguvu kweli sema ndo hivyo ni matunda yanayojiotea yenyewe mwituni au porini na watu hawakuyashitukia kuyaendeleza lakini watu wa kale waliyatumia sana ndo maana walikuwa na mafunuo ya ajabu na akili kubwa na wale tunaoona walipata akili kubwa huku mwishoni ni wale vizazi vyao viliyatunza kama akiba, na wengine walioyafahamu kwa uchache ndo hao waliyatumia vibaya kwenye uchawi badala ya kuyatumia kuwainua kwenye maarifa yenye faida, ila kujamiiana siyo tunda ni tendo la mwanadamu kwaajili ya kuzaliana Sasa wengi wamelitumia kujipa Raha na hilo tendo linatumika kuharibu akili ya mwanadamu isiwe karibu na Mungu yaani likitumika vibaya utu wa ndani yaani roho ya mtu inajitenga na nguvu za Mungu au uwezo wa roho kukuongoza kwenye mambo makubwa au ya FUTURE maana roho ya mtu inatakiwa iwe inapata habari Kwanza za mambo yajayo Sasa ukiwa na janapa linakuwa linazuia zile nguvu kufanya kazi yake vizuri au kuondoka kabisa kwa mtu na hapo kwa kutokujua ndo watu wakadhani kujamiiana ndo kulimtenga Mungu na mwanadamu lakini siyo ni tunda halisi kama tunda.
 
Kwa nini basi baada ya kula tunda la kati la mti wa ujuzi wa mema na mabaya Adam na mkewe hawa wakajiona wako 'uchi' na kutafuta majani ya miti na kujisitiri? Kwanini hawakuficha sehemu nyingine zote za mwili?
Kwa nini ngono inaitwa dhambi ya asili?
Kwa nini tendo la kuzaa nje ya ndoa ndio dhambi inayotambulika kiimani inayofanya mtu atengwe?
Ni kweli baada ya kula tunda la mti wa katikati wa ujuzi na maarifa hapo hapo wakafunguka macho wakaanza kuona aibu ndipo wakajua kumbe hizi sehemu za siri zinahitaji kutunzwa kwa kuzibwa.

Baadaye walifukuzwa hapo shambani na mti ukafichwa ili wasile tena hayo matunda wakapata maarifa na kujifananisha na Mungu.

Basi kwanini wafukuzwe tena bustanini ili wasiendelee kula na kupata maarifa zaidi. Ina maana kama ingekuwa ngono wangezuiwa moja kwa moja, lakini waliendelea kuzaana hadi tukapatikana sisi hapa.

Kwahiyo siku ya mwisho sote tutakula tunda ndipo tutajua alaa kumbe Mungu yupo hivi, vile, alituumba namna hii [emoji848][emoji4][emoji4] na tutakuwa tuna nguvu ya kuishinda dhambi moja kwa moja.

Hivi unajua kwa mfano mbuzi, ng'ombe, kondoo, mbwa na wanyama wengine ikitokea wakala hilo tunda usishangae ukawakuta bandani wamejizipa sehemu zao za siri mikiani na zile nyasi wanazokula ,halafu ukiwatazama wanaona aibu? Lakini hawataacha kuzaana, watakuwa wanapandana kwa kujificha.

Tuendelee kuyatafuta maarifa ya Mungu maana ndipo palipo na hekima ya kila kitu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Biblia huwezi Elewa na wewe pia hivyo hivyo, haya uliyo andika hapa ni maoni na mtazamo wako tu unavyo dhani wewe, Biblia kila mtu anajinsi anavyo ielewa usihalalishe mawazo yako kuwa mawazo ya jamii nzima...hakuna anaye weza elezea biblia kwa usahihi kabisa kila mtu hutoa anacho waza yeye akilini mwake.....
Wewe nijibu jinsi nilivyouliza na jinsi ilivyoandikwa. Hakuna kitu nimetoa nje au mawazo yangu ninachotaka ukipinge nilichoandika kama ilivyoandikwa kwenye Biblia.

Labda unaiambie sivyo ilivyoandikwa kwenye Biblia na Mshana Jr hajampata Adam wa kwenye Biblia.
 
Hata Mimi huwa nashangaa wanaolazimisha tunda kuwa tendo la kujamiiana nawakati Mungu aliwapa Adam na Hawa bustani ya Edeni yenye matunda Sasa hayo matunda mengine kwanini yasiwe uchi au miuchi mingi kwenye mwili wa mtu alafu uchi mmoja ndo uwe tunda la uzima? Tunda la uzima lipo limefichwa tayari, na matunda mengine pia yapo na yananguvu kweli sema ndo hivyo ni matunda yanayojiotea yenyewe mwituni au porini na watu hawakuyashitukia kuyaendeleza lakini watu wa kale waliyatumia sana ndo maana walikuwa na mafunuo ya ajabu na akili kubwa na wale tunaoona walipata akili kubwa huku mwishoni ni wale vizazi vyao viliyatunza kama akiba, na wengine walioyafahamu kwa uchache ndo hao waliyatumia vibaya kwenye uchawi badala ya kuyatumia kuwainua kwenye maarifa yenye faida, ila kujamiiana siyo tunda ni tendo la mwanadamu kwaajili ya kuzaliana Sasa wengi wamelitumia kujipa Raha na hilo tendo linatumika kuharibu akili ya mwanadamu isiwe karibu na Mungu yaani likitumika vibaya utu wa ndani yaani roho ya mtu inajitenga na nguvu za Mungu au uwezo wa roho kukuongoza kwenye mambo makubwa au ya FUTURE maana roho ya mtu inatakiwa iwe inapata habari Kwanza za mambo yajayo Sasa ukiwa na janapa linakuwa linazuia zile nguvu kufanya kazi yake vizuri au kuondoka kabisa kwa mtu na hapo kwa kutokujua ndo watu wakadhani kujamiiana ndo kulimtenga Mungu na mwanadamu lakini siyo ni tunda halisi kama tunda.
Ahsante sana mkuu umenielewa na mimi nimekuelewa vizuri kabisa.
 
Ni kweli baada ya kula tunda la mti wa katikati wa ujuzi na maarifa hapo hapo wakafunguka macho wakaanza kuona aibu ndipo wakajua kumbe hizi sehemu za siri zinahitaji kutunzwa kwa kuzibwa.

Baadaye walifukuzwa hapo shambani na mti ukafichwa ili wasile tena hayo matunda wakapata maarifa na kujifananisha na Mungu.

Basi kwanini wafukuzwe tena bustanini ili wasiendelee kula na kupata maarifa zaidi. Ina maana kama ingekuwa ngono wangezuiwa moja kwa moja, lakini waliendelea kuzaana hadi tukapatikana sisi hapa.

Kwahiyo siku ya mwisho sote tutakula tunda ndipo tutajua alaa kumbe Mungu yupo hivi, vile, alituumba namna hii [emoji848][emoji4][emoji4] na tutakuwa tuna nguvu ya kuishinda dhambi moja kwa moja.

Hivi unajua kwa mfano mbuzi, ng'ombe, kondoo, mbwa na wanyama wengine ikitokea wakala hilo tunda usishangae ukawakuta bandani wamejizipa sehemu zao za siri mikiani na zile nyasi wanazokula ,halafu ukiwatazama wanaona aibu? Lakini hawataacha kuzaana, watakuwa wanapandana kwa kujificha.

Tuendelee kuyatafuta maarifa ya Mungu maana ndipo palipo na hekima ya kila kitu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi? | JamiiForums Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?
 
Kisha wakasikia sauti ya BWANA Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, BWANA Mungu asiwaone. 9BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? 10Akasema, Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha. 11Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi?
 
Hawakuambiwa na yeyote isipokuwa fahamu zao zilifunguka baada ya kula tunda la mti wa katikati wa mema na mabaya.

Hili tunda liko hivi iwapo unaweza kulila sasa hivi hapo ulipo unapata nafasi ya kujua mambo mengi mema na mabaya ambayo ulikuwa hujui, siri za mbingu, siri za Mungu ambazo hutakiwi kuzijua.
 
Kuna mlango wa fahamu kwa kila mmoja ulifunguka uliokuwa umefungwa ambao haukutakiwa kufunguliwa ambao uliwaonyesha ukweli wa sehemu zao za siri.

Hapa ni utambuzi. Hata Mungu alipata mshangao nani amesema u uchi? Je umekula matunda ya mti wa katikati wa ujuzi na mema niliowakataza?

Kama ni kujamiiana walishaambiwa nendeni mkaijaze dunia na kuitiisha. Wengezaa vipi bila tendo la ndoa.

Kwanini Mungu aufiche tena huo mti na kuwafukuza bustanini, kama ni tendo wasingelifanya baada ya kufukuzwa bustanini. Hapa ndipo ninapoegemea.
 
Hawakuambiwa na yeyote isipokuwa fahamu zao zilifunguka baada ya kula tunda la mti wa katikati wa mema na mabaya.

Hili tunda liko hivi iwapo unaweza kulila sasa hivi hapo ulipo unapata nafasi ya kujua mambo mengi mema na mabaya ambayo ulikuwa hujui, siri za mbingu, siri za Mungu ambazo hutakiwi kuzijua.
Tunda ni zaidi ya tafsiri ya matunda mnayofahamu
 
Back
Top Bottom