Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

View attachment 491934soma para ya mwisho, nalala kidogo lakini fully siwazi yasiyonihusu na yasiyo na umuhimu kwa wakati huo
Paragraph nzuri hasa nimelipenda neno ''scattered thoughts na various patterns'' ila sijapakubali eti ''a way of life accord(ing) to which we should live'' the writer is equal to me Hana nguvu ya kuhukumu nini ni starndard ya watu waishije kisahihi ila apendekeze tu,wasiofanya sawa na wanaofanya hamna tabu
 
Mshana Jr. umepotosha! Adam hakuangukia ktk dhambi ya ngono, soma tena maandiko vzr ili usipotoshe watu.
 
Hivi Adam na Hawa wangekuwa wamebanduana Biblia si ingeweka wazi tu...mbona sehemu zingine haifichi...kwanza waliambiwa wakaijaze dunia unafikiri wangeijazaje?...kosa lao ilikuwa tu kula lile tunda sio kujigi
 
Paragraph nzuri hasa nimelipenda neno ''scattered thoughts na various patterns'' ila sijapakubali eti ''a way of life accord(ing) to which we should live'' the writer is equal to me Hana nguvu ya kuhukumu nini ni starndard ya watu waishije kisahihi ila apendekeze tu,wasiofanya sawa na wasio fanya hamna tabu
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji115]
 
Dah... nadhani...ni Kama kupiga puli....unafumba macho..unatulia....unawaza uko dem unamla...kisha unapiga bao... nadhani....[emoji41]
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshana Jr. umepotosha! Adam hakuangukia ktk dhambi ya ngono, soma tena maandiko vzr ili usipotoshe watu.
Bali alianguka kwenye dhambi gani.. Vema ukaweka mistari husika tujadili kwa pamoja na kama nitakuwa nimepotoka nitaomba radhi
 
Zimediteitie[emoji85]
f8cebdbe75c9fec45f317656b68c5b49.jpg
hii stance /mkao bibie huwa anaipenda sana ani huwa tunalast long, tunafanya slow and gentle ,touching ,kissing and likin each other at the same time loooh raha kama zote . ila sijui kama ndo huwa tuna fanya sex m3ditation au la?? mshana nipe mwongozo
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :

Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)

Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa

Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona

Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg
Hivi mkuu mshana kupiga punyeto sio sex meditation, kwa sababu hata leo naweza kupiga punyeto huku picha ya Sanchi ikiwa mbele
 
hii stance /mkao bibie huwa anaipenda sana ani huwa tunalast long, tunafanya slow and gentle ,touching ,kissing and likin each other at the same time loooh raha kama zote . ila sijui kama ndo huwa tuna fanya sex m3ditation au la?? mshana nipe mwongozo
Half way of it... Raha tupu [emoji85]... Mpaka kisogoni
 
Hivi mkuu mshana kupiga punyeto sio sex meditation, kwa sababu hata leo naweza kupiga punyeto huku picha ya Sanchi ikiwa mbele
Meditation inaendana na ku gain some conscious powers, ku meet inner self, kujitambua, utakaso wa kifikra nk... Masturbation always leaves with a sense of guilty and its very difficult co control when you get used to it.....!!!!
 
Samahani, napenda kuweka sawa kipengele kimoja.Adamu hakuanguka kwa dhambi ya uzinzi.
Note : 1.Je, shetani ndiye aliyekuwa wa kwanza kumfundisha hawa ngono?, maana tunasoma kwamba shetani ndiye akiyemchomekea kuhusu ule mti na tunda lake.
2.Kama mti ule uliotajwa ni fumbo, yaani si mti bali tendo, je, vipi ile miti mingine iliyotajwa katika sura ya 1-3 katika kitabu cha Mwanzo inamaanisha pia ni lugha ya picha pia? Kama ndiyo ni picha gani?
3.Amri ya kwamba waje duniani wazaliane na kuongezeka na tukio la kula tunda kipi kilianza?, kama amri ya kuzaliana na kuongezeka ndiyo ilikuwa ya kwanza ,unaweza eleza njia ambayo ingetumika tofauti na hii ya kukutana kimwili?
3.Hawa kawa mke wa Adamu baada au kabla ya kuasi? Na kama kabla je, neno mke huoni kuwa linatoa uhalali wa kuingiliana kimwili?.
Ujumbe wako mzuri ila unapotaka kuingiza Biblical events kuwa makini usikubali kuishi kwa mazoea kwenye Neno la Mungu.
Maswali mujarabu kabisa.
 
Back
Top Bottom