Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :

Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)

Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa

Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona

Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg
Hatareeee na asante kwa kuelezea hilo.
 
Hii kitu nilikuwa naangalia juzi kati youtube kwenye page moja inaitwa vice, wao walidocument huko india aiseeeh ni shidaa wana mungu wao huyo nazani ni huyo uliyemtaja wao wanajiita prostitute of god ukiangalia utajua kweli dunia ni zaidi ya uijuavyo. Pitieni hiyo video hapo chini

Duuu vice ni noma
 
Nimesoma mahali na kuangalia video kadhaa you tube,nimeona kuna aina ya sex meditation inahusisha watu wawili tu sio ritual wala congregation.Wanatandika matandiko yao hawachant chochote wanaanza kusugua kinembe cha bidada pale huku akisikilizia maraha alafu na mwanamme anakuwa naye ana sensualize ile raha yani kwa kuvuta hisia tu.Wanadai ni tiba eti
Mh tiba wapi mkuu huko ni kugegedana tu mwisho wake
 
Mkuu mshana kwa nini usianzishe center ya kufundisha namna ya kumeditate??? maana unagusia mambo yanayoamsha hisia za wengi kuwa na shauku ya kutaka kumeditate. Binaadamu tuna kawaida ya kutaka kujaribu jaribu na meditation without a guider inaweza kumlelekea aspirant matatizo mbalimbali hususan mentally and physically...
 
Dirham napenda mno kufanya hata vipindi kwenye luninga lakini muda unabana
 
Mkuu wanasema hill jicho la tatu, lango la sita la fahamu...

Katika imani wakristo hupaka mafuta matakatifu hapo kwenye paji la uso .

Waislamu ( baadhi siyo wote) wamejiwekea sigina hapo)
Watu wengi maarufu wanaofanya maajabu ya miujiza leo, wanaombea na kuponnya wana nguvu ya jicho la tatu linalokaa kwenye paji la USO.

Mimi napenda kujua vitu km wew sasa basi usidhani Nina majibu mszuri yatakayokufaa, Mshana Jr. Atakuja kukujibu Vizuri.
Baada ya kuona hizo alama usomi kwa waislamu ndiyo ukafananisha na hayo mengine bila kujua hizo sijda zinatokana namimi? Je na miguuni pia hua tunajiwekea alama?

kwa kukusaidia alama hizo hawaweki wenyewe kama ulivyofikiria wewe.
 
Dirham napenda mno kufanya hata vipindi kwenye luninga lakini muda unabana
Jitahidi mkuu maana nimekuwa nikipitia sana post zako na comment za baadhi ya wadau zinaonyesha wanahitaji hii kitu meditation.
Jipange mkuu kila kitu kinawezekana.Utoe yale madini ya kibudhist ukichanganya na mambo ya Swami Satyananda Saraswati or mzee wa Jnana Yoga wanamuita Swami Vivekananda.
 
Dah umenikumbusha hii
Hare kshna, hare kshna
Kshna hare hare
Hare rama hare rama, rama rama hare hare
 
"harer nama harer nama harer namaiva kevalam kalau nasty eva nasti eva nasti eva gatir anyatha”
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :

Hilo neno TAHAJUDI litoe"coz hapo ni kutaka KUKASHIFU dini Fulani... Unapotosha jamii.. Maana ya huo Uzi utoi... Unaleta MBWEMBWE.

Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)

Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa

Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona

Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg
 
Kwa Siku unafanya/ unaenda meditation Mara ngap???
Unalala masaa mangapi kwa siku? Niwie radhi kama yatakuwa hayajibiki!
Meditation nafanya kabla ya kulala ama alfajiri, nalala masaa sita
 
Back
Top Bottom