Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Nilikuwa sijaona hii mada, asante Mshana Jr, ngoja nimalize kazi za watu nije
 
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona[/QUOTE]

Malizia banah! Niemf......... na kush.......................Hahaaa sipangiwi cha kufanya ,kutenda na kusema.
Usitunyie uhondo mshana jr
 
Hapo sasa. Nashindwa kukuelewa sio kweli kua adam na hawa ali zini basi hata kuja kwa wanadam kusinge kuja kwa njia hii..jua kabisa tendo la ndoa ni ibada takatifu ndio maana inapasa mwanadam afuate utaratibu ambao Mungua ame uweka ndio maana iwe wanyama hata njiwa ndege lazima jinsia ya kiume iingie kwenye jisia yakike na kuweka mayai na dipo yana rutubishwa baada ya kuchanganya damu
Mmh haya ila naona kama umechanganya vitu viwili kwa mpigo
Kwangu mimi kulia na kucheka zote ni kelele
Sasa kitendo cha mwanaume kuingiliana kimwili na mwanamke kina majina mengi kama uasherati ngono kuzini kufanya tendo la ndoa nknk hizi ni mbwembwe tu za lugha kitendo ni kilekile
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :

Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)

Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa

Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona

Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg
Hii kitu nilikuwa naangalia juzi kati youtube kwenye page moja inaitwa vice, wao walidocument huko india aiseeeh ni shidaa wana mungu wao huyo nazani ni huyo uliyemtaja wao wanajiita prostitute of god ukiangalia utajua kweli dunia ni zaidi ya uijuavyo. Pitieni hiyo video hapo chini

duh hatri hatari
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :

Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)

Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa

Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona

Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg
Kuna siri gani kwenye kumkiss mtu kwenye paji la uso

Mbona inaonekana na sensitive kuliko sehemu nyingine
 
Mkuu wanasema hill jicho la tatu, lango la sita la fahamu...

Katika imani wakristo hupaka mafuta matakatifu hapo kwenye paji la uso .

Waislamu ( baadhi siyo wote) wamejiwekea sigina hapo)
Watu wengi maarufu wanaofanya maajabu ya miujiza leo, wanaombea na kuponnya wana nguvu ya jicho la tatu linalokaa kwenye paji la USO.

Mimi napenda kujua vitu km wew sasa basi usidhani Nina majibu mszuri yatakayokufaa, Mshana Jr. Atakuja kukujibu Vizuri.
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :

Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)

Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa

Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona

Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg
Duh hii Kali
 
Ukitaka kujua tofauti, nitukane mimi tusi KUBWA SANA halafu umtukane na Mheshimiwa President JPM tusi HILO HILO halafu uone matokeo yake yatakavyokuwa tofauti.
Hapana siwezi kufanya hivyo hata siku moja
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom