Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Meditation nafanya kabla ya kulala ama alfajiri, nalala masaa sita
Watu mnaofanya meditation ndo mnatakiwa kulala kidogo hivo?

Au ukifanya meditation huchoki hivyo haina haina haja ya usingizi mwingi?

Mie nataka niamze kula kwa kipimo kimoja na kulala Muda mmoja, I wish siku moja nifanye meditation.
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :

Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)

Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa

Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona

Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg

Hilo neno TAHAJUDI na MITUME ondoa"" alafu fanya kama hakijatokea kitu...acha kupotosha jamii....Unakoendea.........>>>>
 
Watu mnaofanya meditation ndo mnatakiwa kulala kidogo hivo?

Au ukifanya meditation huchoki hivyo haina haina haja ya usingizi mwingi?

Mie nataka niamze kula kwa kipimo kimoja na kulala Muda mmoja, I wish siku moja nifanye meditation.
meditation-by-astro-gyangranth-3-638.jpg
soma para ya mwisho, nalala kidogo lakini fully siwazi yasiyonihusu na yasiyo na umuhimu kwa wakati huo
 
Watu mnaofanya meditation ndo mnatakiwa kulala kidogo hivo?

Au ukifanya meditation huchoki hivyo haina haina haja ya usingizi mwingi?

Mie nataka niamze kula kwa kipimo kimoja na kulala Muda mmoja, I wish siku moja nifanye meditation.
Jaribu ni nzry sn,sex meditation pia inasaidia huchoki kufanya mapenz mda wote unahitajia.unachukua mda mref kufanya mapenz,kwasbabu inakupatia nguv sana ktk kufanya mapenz,pia inapunguza mawazo,kwa wiki hata mara tano ni nzuri,au kama unaweza kila siku ufanye,its among the best sex boosters
 
Duuuu....asante
 
Hivi wale wanaume wanaokaa mahali mida ya jioni kuangalia wadada warembo wanapita na vinguo nguo vyao vya mitego huku wakiwatamani mpaka wanapata mfadhaiko wa kiutu uzima si wanakuwa wamefanya hii sexual meditation??

Vipi kwa wale wanaojichua???
Duh
umetisha
 
Mmh haya ila naona kama umechanganya vitu viwili kwa mpigo
Kwangu mimi kulia na kucheka zote ni kelele
Sasa kitendo cha mwanaume kuingiliana kimwili na mwanamke kina majina mengi kama uasherati ngono kuzini kufanya tendo la ndoa nknk hizi ni mbwembwe tu za lugha kitendo ni kilekile
Ngono,uzinzi,uasherati au tendo la ndoa ni lugha tu lakini ni kitu kile kile mana vyote hivyo ni kitendo cha uume kuzama ukeni
 
Pamoja na onyo lako naamini hii ndo aina ya meditation wengi itawavutia kujaribu hahahaha
 
Nimeshtuka, Mshana ulishahudhuria hizo ibada? Ulitokaje kwani ukishaingia kuna viapo? Na kama ni kweli utakua na mambo mengi ya ulimwengu wa roho, ndio maana unaongea kwa kujiamini
 
Jaribu ni nzry sn,sex meditation pia inasaidia huchoki kufanya mapenz mda wote unahitajia.unachukua mda mref kufanya mapenz,kwasbabu inakupatia nguv sana ktk kufanya mapenz,pia inapunguza mawazo,kwa wiki hata mara tano ni nzuri,au kama unaweza kila siku ufanye,its among the best sex boosters
Does this thing have to do with the shifting personalities? Yaan uko na X halafu kichwani unamfanya Y? Nasikia nayo huwa inaboost!
 
Umeniacha nimeona maandishi maana yake sikuelwa
 
Back
Top Bottom