Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Kufanya ngono kuzini etc ni lugha tu kitendo ni kilekile
Kaka hapa jaribu kurekebisha hama kwenda shule ya utambuzi wa matendo, ngono, uzinzi, uasherati na uhalisia wa NDOA.

Pliz watu watapotea kwa udanganyifu unaotaka kuleta hapa, plz plz plz kaka rekebisha.
 
Hapana nimeongea kwa mtazamo wa kitendo sio kwa muktadha wa tafsiri
 
acha kudanganya watu adamu aliruhusiwa kufanya ngono
 
Mshana umepotea sana,karibu.Ila naona unachanganya watu.Tendo la kujamiiana ni kweli ni lile lile lakini Mungu alilihalalisha sehemu zingine na kulifanya kuwa dhambi sehemu zingine.Ukilifanya na mkeo sio dhambi, lakini ukilifanya na mwanamke yeyote yule mwingine ni dhambi.Maneno haya uasherati na zinaa yanamaanisha dhambi itokanayo na kujamiiana na mwanamke ambae sio mkeo.
Mwisho bado una jukumu la kueleza sawia swala la "sexual meditation" halijakaa vizuri.
Kuingiliana na mwanamke sio wako wakati umeoa ni uasherati,wakati kuingiliana na mwanamke ikiwa sio mkeo na hujaoa huo ni uzinifu
 
Mshana wewe ni moja ya watu wakituma nondo huwa navuta popcorn ila leo nimefatilia hadi page ya 9 nimegundua haya:
-Mkuu hukujipanga maana umeanza na assumption kama kuna mtu anayejua meditation hiyo ya sex ,UKWELI hakuna aliekuelewa hata kidogo ,mfano mi ndo naiskia leo .
-Pili umekuwa na majibu rahisi yaliyopelekea wengi tuamue kujiondoa kwa kudhani labda ni maarifa ya juu hatujayafikia
Akhsante
 
Mmh haya ila naona kama umechanganya vitu viwili kwa mpigo
Kwangu mimi kulia na kucheka zote ni kelele
Sasa kitendo cha mwanaume kuingiliana kimwili na mwanamke kina majina mengi kama uasherati ngono kuzini kufanya tendo la ndoa nknk hizi ni mbwembwe tu za lugha kitendo ni kilekile
UASHERATI ni kitendo cha mtu kumkiuka BWANA WAKE. Kwa mfano, kitendo cha kuabudu sanamu ni uasherati mbele za Mungu.
 
Mshana wewe ni moja ya watu wakituma nondo huwa navuta popcorn ila leo nimefatilia hadi page ya 9 nimegundua haya:
-Mkuu hukujipanga maana umeanza na assumption kama kuna mtu anayejua meditation hiyo ya sex ,UKWELI hakuna aliekuelewa hata kidogo ,mfano mi ndo naiskia leo .
-Pili umekuwa na majibu rahisi yaliyopelekea wengi tuamue kujiondoa kwa kudhani labda ni maarifa ya juu hatujayafikia
Akhsante

Umesema ni assumption
Umesema sijajipanga
Umesema ndio unaisikia leo
Umesema watu hawajanielewa
Nimeshindwa kujua lipi hasa ni sahihi
Lakini Kumbuka pia.. Nimekuwa na mada nyingi za meditation katika kunyambulisha misingi mpaka aina zake..... Mada zingine nilizoandika kuhusu meditation hizi hapa
meditation in your daily routine
meditation: utajuaje unafanya kwa usahihi?
meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo
Hivyo mada hii ilikuwa ni mwendelezo wa mada za meditation na sikuandika assumption kama ulivyo tafsiri kwa mtazamo wako
 
Back
Top Bottom