Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Babu hulali? Au umetoka kijiweni na Mshana mida hii?
Hahahaha huku niliko Torabora hivi sasa jua linawaka [emoji12] [emoji12]

Huyu mshana nimeamua kumfollow... kila akirusha uzi wake napata notification ili nikiona neno "maiti" kwenye heading niipotezee kwa kuimute mazima [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahaha huku niliko Torabora hivi sasa jua linawaka [emoji12] [emoji12]

Huyu mshana nimeamua kumfollow... kila akirusha uzi wake napata notification ili nikiona neno "maiti" kwenye heading niipotezee kwa kuimute mazima [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji115]
 
Binafsi uzi ningeuelewa kama ingeoneshwa jinsi inavyofanywa aina hii ya meditation na kwanini inahusishwa na shetani. Na wanaofanya wanakua na lengo gani.

Kwa sasa hivi naona mkaa tu.
hqdefault.jpg
273ae2f90af0f6197d13dbdd7202236d.jpg
unafahamu kitu kinaitwa Sex lust? Ushawahi kufanya ngono bila matamanio? Hapa ni jambo la kihisia zaidi, doing something without feeling it.... Je inawezekana?
Tahadhari niliyotoa ni pale imani za kishetani wanapoitumia Sex meditation kama sehemu ya ibada zao angalia picha naamini hutaona mkaa tena
 
Mmh haya ila naona kama umechanganya vitu viwili kwa mpigo
Kwangu mimi kulia na kucheka zote ni kelele
Sasa kitendo cha mwanaume kuingiliana kimwili na mwanamke kina majina mengi kama uasherati ngono kuzini kufanya tendo la ndoa nknk hizi ni mbwembwe tu za lugha kitendo ni kilekile
Mshana umeadimika sana,karibu.

Ila naona unachanganya watu.Tendo la kujamiiana ni kweli ni lile lile lakini Mungu alilihalalisha sehemu zingine na kulifanya kuwa dhambi na haramu sehemu zingine.Ukilifanya na mkeo sio dhambi, lakini ukilifanya na mwanamke yeyote yule mwingine ambae sio mkeo na wewe umeoa ni dhambi,na inaitwa uzinzi.Uasherati on the other hand ni tendo linalojumuisha uzinzi kwa kuwa lenyewe lina maana ya kujamiiana kwa hiari watu wawili wawe wameoa/wameolewa au laa.

Mwisho bado una jukumu la kueleza sawia swala la "sexual meditation" halijakaa vizuri,ingawa kweli ni demonic.
 
Mshana umepotea sana,karibu.Ila naona unachanganya watu.Tendo la kujamiiana ni kweli ni lile lile lakini Mungu alilihalalisha sehemu zingine na kulifanya kuwa dhambi sehemu zingine.Ukilifanya na mkuu sio dhambi lakini ukilifanya na mwanamke yeyote yulemwingine ni dhambi.Maneno haya uasherati na zinaa yanamaanisha dhambi itokanayo na kujamiiana na mwanamke ambae sio mkeo.
Mwisho bado unajukumu la kueleza sawia swala la "sexual meditation" halijakaa vizuri.
Thanks nimerejea na asante kwa ufafanuzi
Kimsingi Sex meditation haina tofauti na ile ya chakula, kwamba unakula kwa ajili ya faida ya kujenga mwili wenye afya, kwahiyo hapaswi kuchagua vyakula kisa LADHA
tuna tabia ya kula chakula kingi chenye ladha nzuri au kitamu na kula kidogo kile KILICHOPIKWA vibaya.. Haya ni matamanio ya mwili tu kupitia ulimi, lakini tumbi wala mwili haubagui.... Tunatakiwa kukichukulia chakula kama dawa na tiba ya njaa na sivinginevyo
Vipi kuhusu ngono? Kuna watu ni wagonjwa wa ngono wako so attached so obssessed ukimnyima kufanya ngono wiki umemtesa sana
Je unaweza kufanya ngono kama njia tu ya kupunguza manii mwilini ama kwa lengo la kuongeza uumbaji? Bila zile hisia?
 
Kaka mi naomba unieleweshe maana ya meditation at all na unieleweshe inafanyikaga wapi na akina Nani pia inafanyika mazingira yapi faida na hasara pia na je imefungamana na imani zozote?
 
Back
Top Bottom