Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Inamaana hapo majini mahaba huja kujiunga kwenye show wapige three sum au?
Je hata kama watendaji hawajanuia kufanya hilo zoezi kwa ajili ya ibada yeyote ile ya kishetani bali zoezi tu bado linakuwa la kishetani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] satanic rituals n congregations are nothing but fullfillment of body desires n Sex lust, wale watu wanawaka tamaa za ngono
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :

Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)

Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa

Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona

Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg

Heading ya habari yako kwa mara ya kwanza TUPO PAMOJA. Kwenye maelezo yako umejichanganya sana Mkuu. Au bado ulikuwa unatajudi!!
 
Heading ya habari yako kwa mara ya kwanza TUPO PAMOJA. Kwenye maelezo yako umejichanganya sana Mkuu. Au bado ulikuwa unatajudi!!
Asante ni kweli kabisa nimetengeneza mix grille ili tuweze kujifikirisha zaidi, nilikuwa na uwezo wa kubana upande mmoja tu wenye mtiririko unaoeleweka kirahisi lakini sikutaka iwe hivyo
 
walipoambiwa zaeni mkaongezeke wangezaa vipi bila kunjunjana?
mkuu wenye mawazo ya kizinzi pekee ndiyo anaongea ujinga wa kupindua ukweli. maana kauli ya zaeni mkaongezeke ilitangulia kabla ya kosa.
 
View attachment 491615View attachment 491616 unafahamu kitu kinaitwa Sex lust? Ushawahi kufanya ngono bila matamanio? Hapa ni jambo la kihisia zaidi, doing something without feeling it.... Je inawezekana?
Tahadhari niliyotoa ni pale imani za kishetani wanapoitumia Sex meditation kama sehemu ya ibada zao angalia picha naamini hutaona mkaa tena
Post zako Mshana zinanipa wasiwasi.
Kwan we we ndio mganga wa JF?
 
mkuu wenye mawazo ya kizinzi pekee ndiyo anaongea ujinga wa kupindua ukweli. maana kauli ya zaeni mkaongezeke ilitangulia kabla ya kosa.
Hata hapo kwa Suleiman na wanawake kadanganya, alikua na wake 300 na masulia 700.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] satanic rituals n congregations are nothing but fullfillment of body desires n Sex lust, wale watu wanawaka tamaa za ngono
Nimesoma mahali na kuangalia video kadhaa you tube,nimeona kuna aina ya sex meditation inahusisha watu wawili tu sio ritual wala congregation.Wanatandika matandiko yao hawachant chochote wanaanza kusugua kinembe cha bidada pale huku akisikilizia maraha alafu na mwanamme anakuwa naye ana sensualize ile raha yani kwa kuvuta hisia tu.Wanadai ni tiba eti
 
No si kweli hata kdg usipotoshe watu tafadhali. Unachosema ni UONGO Adam ha kufanya hilo usemalo. Huwezi sema hivyo kua sex na mkeo ni kuzini.

Huu ni uongo mwingine shetan anatumia kupotosha km alivyodanganya Hawa kua hakika hutakufa na imezaa ibada ya mizimu. Muasisi wake ni shetani, mtu akifa hakuna jinsi ya kurudi in any form.
Labda nisaidie hapa ili watu waelewe..Dhambi ya Adamu na Hawa inayosemwa na Mshana Jr, sio ya Kibiblia, Bali ni ya mafundisho ya elimu iliyokuwepo kabla ya Biblia kuandikwa. Elimu hiyo, ni ya muda mrefu inaitwa "Gnostic,au Gnosticism,". Mafundisho haya ni pamoja na " Reincarnation" ni mafundisho yaliyokuwepo kabla ya kuandikwa kwa kitabu cha agano la kale. Kwa hivyo, Mshana Jr, anaeleza dhambi hiyo akizingatia elimu au mafundisho ya "Gnosticism au gnostic" sio mafundisho ya Kibiblia.
 
[emoji15] [emoji3] hapana
Nimeona hadi kuna binaural beats za ku-induce lucid dreams za sex,hapo unaweza ukamnjunja hata Beyonce.
Wasi wasi wangu sio kwamba utakuwa unafanya ngono na roho za warembo wengine au majini mahaba??
I LOVE LUCID DREAMS.
Yani leo asubuhi binamu niliamua kuride yatch kubwa sijui pwani ya wapi
 
Labda nisaidie hapa ili watu waelewe..Dhambi ya Adamu na Hawa inayosemwa na Mshana Jr, sio ya Kibiblia, Bali ni ya mafundisho ya elimu iliyokuwepo kabla ya Biblia kuandikwa. Elimu hiyo, ni ya muda mrefu inaitwa "Gnostic,au Gnosticism,". Mafundisho haya ni pamoja na " Reincarnation" ni mafundisho yaliyokuwepo kabla ya kuandikwa kwa kitabu cha agano la kale. Kwa hivyo, Mshana Jr, anaeleza dhambi hiyo akizingatia elimu au mafundisho ya "Gnosticism au gnostic" sio mafundisho ya Kibiblia.
Watu wengu wamejikita na elimu ya biblia tu.Kwa hiyi ukiwaeleza fundisho jipya wanakuona mpinga kristo utadhani unawaambia waasi wakati ni kuongeza maarifa.
 
Back
Top Bottom